Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #41
kwMoney stunna asante sana kwa ujumbe mzuri. No 3 ni balaa kuna watu hawajui wenzao wanafanya kazi wanataka muda wote u-bbm, whatsapp, facebook, sms, na aina hiyo ya mitandao bila kujua kuwa watu wengine wako kazini.
Ila ujumbe mzuri sana asante sana mkuu.
Na mimi niseme usitumie zaidi ya ukipatacho ishi maisha kulingana na kipato chako usimuige fulani maana hujui deal zake wala kipato chake. Appreciate pale alipofika na uwe na nia ya kufika hapo kwa kutumia kipato chako na kujinyima pia.
Just remember too much of anything is harmful so be careful.
enye hiyo namba tatu ongezea na jf hahahaaa,kuchat ni addicted sana,ukizoea kuacha ni ngumu