Mchina, Mwarabu, naona sasa umemsahau South Korea - Trillion 6. ( Pesa ndefu)- (( Koloni la USA))... sijui ni kwa nini sisi nchi kama nchi tunashabikia sana hayo mambo ya " tunakopesheka"... tufike mahali tuachane kabisa na mikopo. Ni utumwa, na tukiiendeleza, itakuwa ni mifano ya kausha damu na tutaitwa " highly indebted countries" kama tulivyokuwa tunaitwa kabla ya hao so called " wakristu na ndugu zao Paris club" hawajatusamehe. Tuamke, umatonya umezidi kwa kweli, bakuri kila sehemu. Ni aibu tupu kama nchi imeshindwa kujisimamia mambo yake yenyewe.