10-Year Jail Sentence for Kilifi DG - Uhuru Recommends

10-Year Jail Sentence for Kilifi DG - Uhuru Recommends

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakati naendelea kutafakari juu ya yule mama aliyetoroka katika karantini na kukamatwa na DC Kasesela huko Iringa pia yule jamaa aliyotoka Dubai na kutua JNIA Dsm na kukamatiwa Mwanza akiwa na maambukizi ya Corona ndio ghafla nakutana na mkwara wa Rais Kenyatta wa Kenya.

Rais Kenyatta anasema ni yeye aliyeagiza naibu Gavana wa Kilifi aliyesafiri kutoka Ujerumani akiwa na maambukizi ya Corona na kisha " kukwepa" karantini akamatwe mara moja.
Kenyatta anasema anatamani mahakama imfunge gavana huyo hata miaka 10 jela kwa tabia mbaya aliyoionyesha iliyohatarisha maisha ya raia wengi wa Kenya wasio na hatia kabisa.

----

President Uhuru Kenyatta revealed that he initiated the arrest of Kilifi Deputy Governor Gideon Saburi and is hoping for his 10-year sentence.

The president was speaking in an interview with a local Kikuyu vernacular station when he touched on the issue of Saburi.

Uhuru said he is hoping the Deputy Governor gets a decade behind bars after flouting the government's directive to self-quarantine for 14 days.

n the interview, Uhuru wanted Saburi to set an example to the public, "I am the one who said that the Kilifi Deputy Governor should be arrested... I am praying that he gets 10 years.

"He should be the one with better knowledge as he is a leader. But he comes from Germany, he passes through Nairobi, Mombasa and Kilifi spreading it because he is a 'big man'.




"That's why I want it to be a lesson, even if you are a prominent person, you don't have the right to go spreading the disease to the people."

On Friday, April 3, Police stormed the Coast General Hospital to arrest Saburi, just a day after he was declared healed of the virus.

Saburi tested positive of Covid-19 on Sunday, March 22, weeks after arriving in the country from Germany via Amsterdam on March 6.

The Deputy Governor failed to comply with the 14-day quarantine directive issued by the government for those who had travelled from countries affected by Covid-19.

The Deputy Governor was arraigned before Mombasa Chief Magistrate Edna Nyaloti on Monday, April 6 and is currently at the Bandari Police Station until Thursday, April 9, when a ruling on his bail will be delivered.

In an exclusive interview with Kenyans on Monday, April 6, DPP Noordin Haji revealed that Saburi could be in for a serious charge, "If a person dies from the interaction, that is definitely a murder charge.

"What he did is a serious thing. We are are not getting him off."
 
Yawezekana Ukimwi unaua wengi zaidi kuliko hata Corona. Ila tu kwakuwa uko kimya kimya tu!

Huu ni wakati wa binadamu wote na viongozi wetu wote kutumia akili zaidi kuliko nguvu na mihemko ya kisiasa.

Tuendelee kuchukua tahadhari tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana Ukimwi unaua wengi zaidi kuliko hata Corona. Ila tu kwakuwa uko kimya kimya tu!

Huu ni wakati wa binadamu wote na viongozi wetu wote kutumia akili zaidi kuliko nguvu na mihemko ya kisiasa.

Tuendelee kuchukua tahadhari tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2018 watu 770,000 walifariki dunia nzima kwa ugonjwa wa UKIMWI, ugonjwa ambao unaweza kujikinga nao. Hadi sasa Corona imeuwa watu 75,900 na mamilioni wakiwa na hali mbaya na hakuna kinga wala tiba.
 
Mbona Mr President is now stooping low! Presidency as the most powerful institution in the country needs to let the court penalise Mr Saburi independently!
 
Mbona Mr President is now stooping low! Presidency as the most powerful institution in the country needs to let the court penalise Mr Saburi independently!
Hili sio agizo! Hana hayo mamlaka. The Court will deal with the DG independently.
 
Back
Top Bottom