jifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Jifunze kujithaminii bila kusubiri kukubalika na kila mtu

    “Usiishi maisha ya kutafuta makofi ya watu, kwa sababu siku watakapoacha kukupigia makofi, unaweza kujikuta umepoteza sababu ya kuendelea na safari yako.” Katika maisha yetu ya kila siku, kuna mtego mmoja ambao watu wengi hujikuta wameingia bila hata kujitambua. Mtego huo ni kutegemea...
  2. Kizumari Technologies

    JamiiForums Tanzania Kila Picha Unayopiga na Simu Yako Inaonyesha Ulipo - Watu Wanaweza Kukufuatilia Nyumbani Kwako Kupitia Picha Tu Na Kuhatarisha Usalama Wako

    Habari wadau, Natumai mko poa Nimekuwa nikifanya uchunguzi mdogo baada ya kuona watu wengi humu JF mna-post picha za magari mnayouza, nyumba mnazopangisha, na hata watoto wenu. Je, mnajua kila picha mnayopiga na simu yenu ya mkononi inabeba siri 3 ndani yake bila ninyi kujua? 1. Mahali...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kijana usiishi kimazoea. Usiishi kwa imani jifunze kuloga na kujikinga

    Hakuna atakayekwambia haya maneno. Usiishi kama ndezi utachelewa sana maana kwa sasa ulimwengu ni uwanja wa dhambi usipo wahi utawahiwa. Jifunze kuloga na kujikinga si kila anayecheka na wewe anakupenda. Hata hao unaowaona ni watu wa dini either wanapishana vilingeni kuweka mambo sawa, au...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kujieleza, Epuka Migogoro

    Unaweza kuwa sahihi, unaongea jambo la kweli lakini usipojifunza namna ya kujieleza unaweza kuishia kueleweka vibaya, ukaumiza hisia za mwenzako na ukazalisha mgogoro usio wa lazima. Hapa nina mifano michache ya kuzungumza kwa namna inayopunguza migongano katika lugha: ✳️ Tafsiri, mara nyingi...
  5. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaohangaika na Dini ipi ya kweli sijui dini ipi nzuri jifunze hili.

    Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
  6. GwaB

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kiha, Lugha halisi ya kibantu

    Kiha ni lugha inayozungumzwa na wananchi wa wilaya zote za mkoa wa Kigoma. Waha ni watu wasiopenda sana kuongea lugha yao pamoja na kwamba lugha hii ya kibantu pamoja na Kirundi na Kinyarwanda kwa pamoja zinashika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi ya wazungumzaji baada ya Kiswahili. Kwa wale...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kufanya biashara ya kukodisha nguo za harusi? Usikurupuke kununua nguo nyingi…Jifunze hii kwanza!

    Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi kukufanya ufanikiwe. Unahitaji kuielewa biashara yako na kuisimamia kwa mfumo. 1. 🎀 Chagua nguo...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Jifunze kitu kupitia ujasusi

    Kwenye ujasusi Mkuu wa operesheni ,kiongozi wa serikali akitaka kujua kama Afisa usalama au jasusi anamletea taarifa za uongo au za ukweli unatumia mbinu hii. 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 **Unatuma maofisa wa usalama au majasusi tofauti kama 5 bila wao wenyewe kujuana ili kuchunguza taarifa...
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye malengo ya kuchimba kisima jifunze basics ya survey

    Habari Jf. Katika mchakato wa kuchimba kisima sustainable kuna hatua ya kwanza ya vipimo, underground water survey, ambapo kifaa maalum kinachotumika hutoa report, katika report hiyo utakutana na graph yenye muonekano wa rangi tofauti tofauti kama picha niliyoweka hapa, Sasa umuhimu wa...
  11. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

    Kwanza kabisa Jux is one among the artists ana inborn talent na anajua muziki, rnb zake mwanzoni kabisa zikiwakosha wengi.... Kama mnafatilia anatumia real life scenes kutunga nyimbo na Zina enda kweli.. Kabla ya kujumuika na mwambino(Diamond platnumz) alikuwa anafanya kazi Nzuri sana vibao...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jifunze Taratibu za Kuasili Mtoto (Podcast)

    Pata elimu juu taratibu za kuasili mtoto nchini Tanzania (Child Adoption), 👶🏽sikiliza MAELEZO PODCASTS 🎙️Tunapatikana katika audio channel zote 📌 https://open.spotify.com/episode/6KZNCZnEwTcFxgCQNR0hM0?si=2BlFR_VgT2inuUbeL6U4zw&utm_source=copy-link
  13. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kusema HAPANA: Linda Muda na Malengo Yako

    Jifunze kusema HAPANA. Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako. Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus na wanabaki nyuma si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu hawawezi kusema hapana. Ukishindwa...
  14. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Muangalie Anayekushinda: Jifunze Tabia Zake

    MUANGALIE MTU ANAYEKUSHINDA... KISHA UJITAZAME WEWE Nataka ufanye kitu kimoja leo. Muangalie mtu ambaye ni bora kuliko wewe hapo kazini. Muangalie mwanafunzi ambaye kila mara anapata matokeo makubwa kuliko wewe darasani. Muangalie mfanyabiashara ambaye biashara yake inakua kwa kasi kuliko...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Usikate Tamaa: Jifunze Kutoka kwa Wema Sepetu

    Yapo Mengi sana ,Nimejifunza kwa Muda mfupi sana , Wakati nikiendelea kuona majibizano ya wafuasi wa wema sepetu na Anti -wema sepetu, So sitaki kujiingiza huko katika Majibizano hayo , Ila Mimi natoa funzo muhimu sana katika Jamii , Mara Nyingi Watu wengi huacha ndoto zao kwa sababu ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kukataa hizi laana kwa nguvu zako zote.

    Kwa nini hatuanzi, na tukitaka kuanza tunaghairi? Moja ni ‘laana’ ya kuwa na uwezo. Unajua unaweza, ukitulia siku moja tu kazi ya mwezi mzima utaifanya ndani ya siku mbili na hakuna tatizo. Kwa nini uanze mapema kama unaweza kuanza siku moja kabla? Unaahirisha upumzike kwanza. Pili, imani kuwa...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuzitambua hisia za mwenza wako

    Katika safari ya mapenzi ya dhati, kujifunze kuzitambua changamoto, huzuni, furaha, maumivu, na mateso ya mwenza wako bila kukimbilia kumhukumu ni mtihani mkubwa unaovuka mipaka ya kibinadamu na kuingia katika uwanja wa vita kali ya kiroho. Unapochagua kumpenda mtu, huunganishi mwili tu, bali...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Linda Pesa Zako: Jifunze Kusema HAPANA

    Watu wengi hawaishiwa fedha kwa sababu hawapati kipato… Bali wanaishiwa fedha kwa sababu hawawezi kusema HAPANA. Kama hutalinda pesa zako, mtu mwingine atazitumia kwa niaba yako. Hivi ndivyo unavyoweza kubaki na udhibiti: • Acha kutangaza kipato chako Ukikaa kimya, matarajio ya watu...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mtazame huyu mwimbaji mwenye Magongo, Alafu jifunze kitu!

    Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha. Sijui Wewe utumishi wako mbele za Mungu ni furaha au majuto? CC.Inland tv
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukikua utajua wale uliokuwa unawategemea wakusaidie kumbe nao wanahitaji Msaada. Jifunze kujitegemea

    UKIKUA UTAJUA WALE ULIOKUWA UNAWATEGEMEA WAKUSAIDIE KUMBE NAO WANAHITAJI MSAADA. JIFUNZE KUJITEGEMEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi Watibeli tunajifunza kujitegemea mapema tuu baada ya kujua uchi ni nini. Baada ya kusikia haya na aibu kutembea bila nguo. 2. Ndio maana maisha yetu...
Back
Top Bottom