Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kwanza kabisa Jux is one among the artists ana inborn talent na anajua muziki, rnb zake mwanzoni kabisa zikiwakosha wengi.... Kama mnafatilia anatumia real life scenes kutunga nyimbo na Zina enda kweli.. Kabla ya kujumuika na mwambino(Diamond platnumz) alikuwa anafanya kazi Nzuri sana vibao kama.. Uzuri wako, sisikii, napata raha, nitasubiri aisee old is gold ... Sasa ivi kaingia kwenye mfumo wa kutoa mahit song uchwara..
Anyways Twende kwenye mada...
Wanaume manaotaka kuoa jifunzeni kutoka safari ya Juma jux.
Hakika this dude has gone thru alot kwenye dating pool, kadate na wanawake wengi na alistay true kwenye values zake ndo maana kapata dodo chini ya mnazi..
Kwanza kabisa kuna watu watakuja na kisingizio kwao kuna mawe... Ndio lakini sio kigezo chukueni lessons msiangalie u rich wao.
Kwanza kabisa niipongeze familia hasa mama mzazi, imagine una sikia mtoto wako ana date na muuza madawa ya kulevya? Demu wake wa kwanza
Jackline Clifford (Jackie Cliff)
Kuhusu yeye: Alikuwa mpenzi wa zamani sana wa Jux na alionekana kama video vixen kwenye baadhi ya kazi zake za mwanzo. Uhusiano wao uliisha baada ya Jackie kukumbana na changamoto za kisheria zilizomfanya afungwe jela nje ya nchi kwa miaka kadhaa kabla ya kuachwa. Ila nilifatilia interviews nyingi na jux aliangukia kidampa wa mjini na yeye alikiri kabisa umaarufu ndo ulifanya ajikute anaanngukia pale... Demu alikuwa mshenzi sana yule. Alikuwa kamzidi juz umri na alionekana yuko vizuri kiuchumi kumbe ni drug dealer
Hakika wanawake wanaweza kuku ingiza mkenge ilikuwa almanusura jux na yeye aozee ndani kisa kidampa. Ila familia ilikaa nae sambamba na akakutwa hana hatia.. Somo ni kuwa mwanaume ukijipata angalia usije kuwa prey na vidampa wa mjini, kausha damu hao na hawako kwa ajili yako wako kwaajili ya pesa.
Vanessa Mdee
Kuhusu yeye: Alikuwa mpenzi wa muda mrefu zaidi wa Jux. Walichukuliwa kama "Power Couple" ya muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania na walitoa nyimbo za pamoja kama "Juu" na "Sumaku".Muda waliodumu: Walidumu kwenye uhusiano kwa takriban miaka sita hadi walipoachana rasmi mwaka 2018.
Ila kati ya couple zilizomwaibisha jamaa ni hii walivyo achana jamaa alioneka mnyonge mpaka kuanza kupaparukia wanawake hovyo.. Walimzushia kuwa jamaa hawezi kuzalisha hasa huyo dem alivyo chumbiana na rotimi na kupata mimba.. Jamii ya wamatumbi ilimdaharau sana Juma jux. Ila hatukujua nyuma ya pazia kuwa demu naye alikuwa kicheche tuu, alichapwa mashine sana na jamaa wakina p square(Mr p yule) ila mwamba baada ya kugundua akaona hii si sawa, akapiga chini
Baada ya hapo jux alikuwa kama kadata hivi akaanza kuingia kwenye mahusiano na mademu mbalimbali...
Kuna huyu mu Thailand 🇹🇭 Nayika Thongom
Kuhusu yeye: Mwanamitindo na mrembo kutoka nchini Thailand. Jux alianzisha naye uhusiano muda mfupi baada ya kuachana na Vanessa Mdee, ambapo walikuwa wakiposti picha za pamoja zilizozua gumzo mitandaoni. Na yeye alikuwa gold digger akitaka kutumia umaarufu wa jux, long distance commitment ikamshinda. Ila ndo wale wale vidampa wa mjini kasoro tarehe.
Wakina Karen, na Huddah the boss lady inajulikana walikuwa madanga wa muda mrefu
Jamaa alikuwa na values zake ila hakuna mwanamke aliye kidhi vigezo na walikuwa ni dead end wote hao.. Ndo ujue kabisa wanawake wenye michezo michezo huwa hawafikishi uhusiano popote. Ni vichomi, ni walaghai na huwa hawakupendi wewe bali status yako au pesa.
Sasa juma out of no where akaokota dodo
Priscilla Ojo
Uhusiano wa Juma Jux na mwanamitindo kutoka Nigeria, Priscilla Ojo (binti wa mwigizaji Iyabo Ojo), umekuwa mmoja wa hadithi kubwa za mapenzi barani Afrika.Walivyokutana: Jux alifichua kuwa walikutana kwa mara ya kwanza nchini Rwanda kwenye usafiri wa daraja la kwanza la ndege (Business Class). Wakati huo, Jux hakujua kama Priscilla alikuwa mtu maarufu mkubwa mtandaoni; alivutiwa tu na uzuri wake.
Kwanza kabisa ni mdogo young and fresh 24 yrs wakati jux ana 35 and going.. Mnapoambiwa msikimbilie wanawake wakubwa muwe mnaelewa... Hawatulii because wameshalambwa mno. Hawana utulivu kwa sababu ya trauma na kupigwa matukio wakati wa prime zao. Jux amekuwa mfano mzuri sana katika safari yake na Mungu kampa anayestahili..
Nahisi hili ni somo tosha kwa wanaume simps, msikimbilie makombo na wanawake mashangingi ya mjini mtaishia kuwa prey tu na hamtafika popote.
de Gunner
Am out 📤.