Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

Anaimba vizuri style yake ilikuwa nzuri alianza kuboa alivyoanza kucopy style za Mondi
Yes, naomba sana arudi kwenye zone yake ya uimbaji... Saiz naona anatafuta international collabos na wanaijeria. Ila akirudi kwenye uimbaji wake kwenye collabos ataenda mbali sana
 
kwanini ufuatilie life la mwanaume mwenzio, hauna kazi za kufanya? we sikiliza mziki ukimaliza ni mbele au wew ni mshakunaku?
Una mindset za kimaskini sana nakuhurumia. Kwahiyo mwanaume anapaswa asifatilie mwanaume mwenzake? Na wanaofatilia wachezaji wa mipra je?
 
Naujua muziki kuliko wewe, na nimeanza kufatilia muziki pengine kipindi wewe hujazaliwa, hao wasanii wenzake walishasema live jamaa anajua kuvaa tu sio muziki, ukitoa enjoy lini jux alitoa wimbo wa taifa?
Sasa ivi kaingia kwenye mfumo wa kutoa mahit song uchwara..
Ulishajibiwa hapa, kuwa ngoma anazotoa sasa ni zinahit ni uchwara na za chini ya kiwango chake mwenyewe Jux.

Kuna ngoma wasanii wanazitoa zinakua ni hits ila hata wenyewe wanaona aibu kuzisikiliza.

Usije ukasema Madee kwenye muziki hakuwa chochote, ila baada ya wimbo wa nani kamwaga pombe yangu ndio sasa kawa mwanamuziki bora!!
 
Hajui muziki huyo, a nahisi muziki kuwa na views nyingi ndo muziki mzuri
 
Hizi chaguzi zake si chaguzi za mwanaume aliye serious kuwa anataka ndoa. Labda hakuwa tayari kuoa mpaka alipokutana na huyu wa mwisho au alikuwa hajui nini maana ya mke mpaka alipopata uzoefu baada ya kuhangaika na wrong choices.
 
Una mindset za kimaskini sana nakuhurumia. Kwahiyo mwanaume anapaswa asifatilie mwanaume mwenzake? Na wanaofatilia wachezaji wa mipra je?
kama kufuatilia huyu kadate na watu wangapi kwa mda gan na kaoa/kuolewa na nani ndo mindset za kitajiri acha ikae bro sihitaji hiyo mindset kamwe bora nipigwe mawe
 
Unajua nyie ndo wale mlokaririshwa ya kuwa kufanya vitu flani na jamii. Mfano mwanaume kuwa na dread ni ushoga, sijui kuchora tattoo ni laana, maisha hayako hivyo. We learn thru others na kufatilia maisha ya mtu sio dhambi kama kuna kitu unajifunza
 
Hizi chaguzi zake si chaguzi za mwanaume aliye serious kuwa anataka ndoa. Labda hakuwa tayari kuoa mpaka alipokutana na huyu wa mwisho au alikuwa hajui nini maana ya mke mpaka alipopata uzoefu baada ya kuhangaika na wrong choices.
He was young,
Kwa mtu wa kawaida lazima tu angeingia mkenge...
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Ila Vanessa umeona alivyotulia na familia?labda lilikuwa ni chaguzi bora pia
 
Unajua nyie ndo wale mlokaririshwa ya kuwa kufanya vitu flani na jamii. Mfano mwanaume kuwa na dread ni ushoga, sijui kuchora tattoo ni laana, maisha hayako hivyo. We learn thru others na kufatilia maisha ya mtu sio dhambi kama kuna kitu unajifunza
makubwa, wapi nimesema hivyo? hebu usinichekeshe,, alf hakuna mahali nimekuzuia kuacha kumfuatilia juma tafadhari kijana,, unahisi ukiacha nani atatuletea umbea kama huu sis ambao sio wafuatiliaji?
 
He was young,
Kwa mtu wa kawaida lazima tu angeingia mkenge...
Yes. Maturity huwa inakuja kwa gharama. Ni mara chache sana maturity ije tu bila kupitia mazoezi zoezi fulani ya maisha.
 
makubwa, wapi nimesema hivyo? hebu usinichekeshe,, alf hakuna mahali nimekuzuia kuacha kumfuatilia juma tafadhari kijana,, unahisi ukiacha nani atatuletea umbea kama huu sis ambao sio wafuatiliaji?
Umbeya tena!
Kuna mahala nimeongea uongo? Unashida wewe🤣 nimetumia nilichojifunza kuleta stori ya funzo... Sijaweka umbeya hapa you dumb head🤣
 
Yes. Maturity huwa inakuja kwa gharama. Ni mara chache sana maturity ije tu bila kupitia mazoezi zoezi fulani ya maisha.
Yes, Hakika ila kwa scenario Kama hii inatupa shortcut wengine. We learn thru them
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Umbeya tena!
Kuna mahala nimeongea uongo? Unashida wewe🤣 nimetumia nilichojifunza kuleta stori ya funzo... Sijaweka umbeya hapa you dumb head🤣
mi sijui kama kuna uongo au ukweli kwenye story zako ila hizo mambo za kusema "ninyi ndo ambao mnakalilishwa..." ulikuepo?

huu ni umbea kama umbea mwingine kwasababu unayo yasimulia ni uliyo yaona nje ila ya ndani hauyafaham
 
Sasa kwa hii tabia ya ku judge watu unafikiri imetokea wapi kama sio tabia za kimaskini?

Ndani wapi tena wewe? Inamaana ni mpaka nianze kufatilia maisha personal? Huo ndo umbea sasa
 
Ila Vanessa umeona alivyotulia na familia?labda lilikuwa ni chaguzi bora pia
Kuna baadhi ya wanawake wakikutana mtu sahihi akili zinarudi kwenye mstari anatulia.

Inatokea hata kwenye jamii za kawaida kabisa. Kuna Binti alifeli form 4, akawa mtaani sijui ikawaje akakutana na mzungu, akapendwa akawekwa ndani ndo ikawa imetoka hiyo, vijana watabaki alikuwaga hivi alikuwaga vile ila ndo siyo yule tena hata kumsogelea haiwezekani.
 
Ulishajibiwa hapa, kuwa ngoma anazotoa sasa ni zinahit ni uchwara na za chini ya kiwango chake mwenyewe Jux.

Kuna ngoma wasanii wanazitoa zinakua ni hits ila hata wenyewe wanaona aibu kuzisikiliza.

Usije ukasema Madee kwenye muziki hakuwa chochote, ila baada ya wimbo wa nani kamwaga pombe yangu ndio sasa kawa mwanamuziki bora!!
Madee hata kazi yake Mola alikuwa vizuri tu, ki ufupi madee ana talent nzuri sana
 
Back
Top Bottom