Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

Umeelezea upande mmoja wa Jux je na sisi tueleze upande wake mwengine?
Hebu nenda kamuulize Vanessa alishamfumania mara ngapi pale Hyatt na lile zee la kihabeshi, mara ngapi studio na yule producer, mara ngapi kwenye simu na yule msanii mwenzake, oyaaa unamchoresha tu msanii wako muache alee familia yake,
Vanessa kaona mambo mazito hadi akapata depression mtoto wa watu,
 
Sasa kwa hii tabia ya ku judge watu unafikiri imetokea wapi kama sio tabia za kimaskini?

Ndani wapi tena wewe? Inamaana ni mpaka nianze kufatilia maisha personal? Huo ndo umbea sasa
unaielewa judgement vizuri au umeandika tu

hata huu wa leo ni umbea wa juu juu
 
Umeelezea upande mmoja wa Jux je na sisi tueleze upande wake mwengine?
Hebu nenda kamuulize Vanessa alishamfumania mara ngapi pale Hyatt na lile zee la kihabeshi, mara ngapi studio na yule producer, mara ngapi kwenye simu na yule msanii mwenzake, oyaaa unamchoresha tu msanii wako muache alee familia yake,
Vanessa kaona mambo mazito hadi akapata depression mtoto wa watu,
Mimi kama shabiki wa Jux nazipinga hizi rumors, jux sio msiri kabisa akiingia kwenye mahusiano..

Vannesa kachezewa sana na aliona uaminifu wa Jux kama weakness. Ila jamaa aliendelea kumpenda mpaka akaona basi
 
unaielewa judgement vizuri au umeandika tu

hata huu wa leo ni umbea wa juu juu
Yes, judgements sio mpak umhukumu mtu kwa usilo lijua kuhusu yeye, judgements ni kumfanya mtu awe victim kwa false beliefs.

Haya endelea kuamini hivyo
 
Anaeoa vibibi ni kwa risk zake mwenyewe..hata humu viko bitter sana kwa trauma za pre concious experience zao kutoka kwa ma ex zao
 
Kuna baadhi ya wanawake wakikutana mtu sahihi akili zinarudi kwenye mstari anatulia.

Inatokea hata kwenye jamii za kawaida kabisa. Kuna Binti alifeli form 4, akawa mtaani sijui ikawaje akakutana na mzungu, akapendwa akawekwa ndani ndo ikawa imetoka hiyo, vijana watabaki alikuwaga hivi alikuwaga vile ila ndo siyo yule tena hata kumsogelea haiwezekani.
Kama Vee katulia hadi raha,.
 
Back
Top Bottom