Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
ENDELEA kuwakataa,na hata uwatakao pia wanakukataa🤣🤣Ubaya ni kuwa wao kwa age yao hawa fall into that category... Walitulia kwenye ndoa na kutupa malezi bora. Sijakataliwa ila nawakataa wanawake vichomii
Na kama una hasira kawatukane hao uliowakataa na kukukataa direct kuliko kuleta matusi yako humu Kwa ujumla..unajidhalilisha mwenyewe
Nlikua nakuona mwanaume kumbe bado mvulana
We mi nimkatae mtu huko kisa simtaki nije niandike magazeti ya kudhalilisha wanaume humu kisa mtu Fulani mtaani.utaniona timamu?