Mimi mwenyewe nimeshangaaJux kwenye muziki hapana, alitumia zaidi ya miaka 10 kupata hit song moja
Ndio yule mzungu wa pale hotelini au?Bangi, msaliti. Lesboos, ni kweli.
Ila kilichomfanya Vee amuache Jux ni kushare bwana m1, ile alishindwa kuvumilia kabisa.
Huyu na Jux ni waty ambao huwezi kunidanganya kuwahusu!! Wasanii wengine wote ntakua najua tu tetesi za kusikia kwa watu ila sio kwa hawaSasa wewe ndo umeongea ukweli yule demu kidogo apotee mazima ndo maana aliona muziki kama demonic entity akatema mazima ila alikuwa mchafu kinyama
Mimi si kumfuatilia sana vee Money ila najua jux na kuwa shoga Hapana.. Hata tetesi sijawahiHuyu na Jux ni waty ambao huwezi kunidanganya kuwahusu!! Wasanii wengine wote ntakua najua tu tetesi za kusikia kwa watu ila sio kwa hawa
Unatumia nguvu nyingi, wewe sio mtoto wa mjini unamjua Jux wa kwenye Tv, kwanza ulivyomuelezea Jacky nikajua tu mjini ulikuja kwa lori la dagaa kutoka huko UkereweMimi kama shabiki wa Jux nazipinga hizi rumors, jux sio msiri kabisa akiingia kwenye mahusiano..
Vannesa kachezewa sana na aliona uaminifu wa Jux kama weakness. Ila jamaa aliendelea kumpenda mpaka akaona basi
Ofcourse tena ongeza msukuma kabisa. Ila sina huo ushamba kama unavyo dhani na sina muda wa kufatilia ******* ******* na mashoga. Ni mwiko kwanguUnatumia nguvu nyingi, wewe sio mtoto wa mjini unamjua Jux wa kwenye Tv, kwanza ulivyomuelezea Jacky nikajua tu mjini ulikuja kwa lori la dagaa kutoka huko Ukerewe
List ni kubwa kuna mwengine marehemu sasa hivi, halafu ili ujue huyu kijana hamnazo kaja na ID nyingine eti anamtetea Jux🤣🤣🤣 mtu hawezi kuikataa asili ndo alivyoumbwa kikubwa tuenjoy mziki wake mengine ni yake chumbani kwakeMahi usimuambie huyu kijana, Vee toka ajue kuwa Jux ni km yeye, bas akaona aaachie ngazi.
Usisahau na yule T, ambaye alipita na Vee hadi jux mwenyewee.
Alooooh.
Ila ukamuanzishia uzi na kutaka watu wajifunze kupitia yeye🤣🤣🤣🙌🏻na sina muda wa kufatilia ******* ******* na mashoga. Ni mwiko kwangu
Shule za utu uzima ada ni ghali mno.Jamaa alijifunza mengi baada ya downfall
Huko mengi kuhusu wanawake.35 yrs kweli? Labda kama ni sister mkatoliki kama ujiitavyo wewe sister Abigail.
YesNa mara nyingi huwa zinakuja pale ambapo reverse mechanism inakuwa ngumu sana.