Tatizo vijana wanapenda kuwasemea wanawake badala ya kuwasikiliza wao wenyeweMbona unaitwa wanawake makombo?
Hivi unajua Kuna wanawake wapo 35 na wamejitunza kuliko binti wa miaka 25?
Aki Tena Kila siku najionea mengi,ila itoshe kusema wanaume hamtaweza kuwaelewa wanawake mpaka mwisho wa Dunia.
Kuchapiwa inategemea! Binafsi sijawahi kufikiria kumsaliti mtu wangu endapo sitoona dalili ya usaliti kwake.
Mi naona hapo bado Kwa umri wa jux alotakiwa walau abebe ka miaka 19Truth be told ni kuwa hiyo age gape haina shida kabisa labda kama juz abgelikuwa anamiaka 45 kwenda juu. Ila hapo wataendana sambamba vizuri tuu
Kwa kuongezea.Kuchapiwa inategemea! Binafsi sijawahi kufikiria kumsaliti mtu wangu endapo sitoona dalili ya usaliti kwake.
Fatilia umri wake ndo ujue Kwa Nini katuliaIla Vanessa umeona alivyotulia na familia?labda lilikuwa ni chaguzi bora pia
Uko na mentality ya kushusha watu..Kwa akili zako bado unaamini thamani ya mwanamke inapimwa Kwa umri?OK labda utuelezee huyo mwanamke wa 35 yrs anasoko gani in the marriage pol
Ni kweliTatizo vijana wanapenda kuwasemea wanawake badala ya kuwasikiliza wao wenyewe
Huna hojaKwisha habari yaako
Ukikataliwa jifunze kukaa kimya.kuita wanawake majina mabaya na kuwadhalilisha haisaidiiKaa pembeni wasichana wajifunze kupitia mistakes zenu
Ubaya ni kuwa wao kwa age yao hawa fall into that category... Walitulia kwenye ndoa na kutupa malezi bora. Sijakataliwa ila nawakataa wanawake vichomiiUkikataliwa jifunze kukaa kimya.kuita wanawake majina mabaya na kuwadhalilisha haisaidii
Hata mama zako na shangazi zako wanawake
Tia Hilo akilini
Wengi wao hata hawajawahi kuwa na Girlfriends wa kiukweli zaidi ni Ma-NATO lakini wanavyoongelea wasichana as if ni wakongwe wa majambo hayo.Ni kweli
Na wanahukumu sana Kwa ujumla.
Mkuu unaonekana mgeni sana kwenye mahusiano, ngoja uje upigwe tukio ulie kama chura kiziwiWengi wao hata hawajawahi kuwa na Girlfriends wa kiukweli zaidi ni Ma-NATO lakini wanavyoongelea wasichana as if ni wakongwe wa majambo hayo.
Na ukute ni hasira za kukataliwa.Wengi wao hata hawajawahi kuwa na Girlfriends wa kiukweli zaidi ni Ma-NATO lakini wanavyoongelea wasichana as if ni wakongwe wa majambo hayo.
Shida!Na ukute ni hasira za kukataliwa.
Hivi mtu aoelewe asiolewe inaaffect Nini Maisha ya mwingine?
Utajuaje kama ni maamuzi binafsi?
Utajuaje kama ni changamoto labda za kimaisha nk
Unaitwa mwanamke makombo,
Una mama unatukana wanawake?