Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google.
Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na...
Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku.
Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
Mwanzo 15, Ibrahim alielekezwa na Mungu atoe sadaka ili apate kuhakikishiwa hatma ya maisha yake.
Aliziandaa akazilinda hadi jioni tai na mbwa mwitu wasije wakazitafuna. Alifanikiwa hadi jioni mpaka zilipoleta matokeo.
Watu wengi hawanufaiki na sadaka zao kwa sababu hawazilindi. Wanatoa kama...
Habarini nyote,
Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu.
Tutende haki ya...
Wana Bodi.
Kupitia kisa hiki na mafundisho haya naamini nitanusuru wengi na kutoa elimu tunduizi.
Taadhari:Lengo la makala haya na video si kufundisha wizi bali kutoa elimu kwa jamii wasiibiwe kizembe.
Kutokana na mabadiliko ya kitechnlojia watu wengi kwa sasa wanatumia mifumo ya kimtandao na...
Malalamiko kuwa vita vya kukomboa majimbo ya Ukraine sasa yako wazi kutoka kila upande.Kutoka kwa raisi wa Ukraine,makamanda wake ,askari wa kawaida na hata kutoka nchi za NATO ambazo zilichangia silaha nyingi kufanikisha hatua hiyo.
Kama alivyotabiri generali mstaafu wa Marekani bado kuna...
NJIA PANDA
Njia panda ni mahali ambapo njia zaidi ya moja hukutana, lakini njia panda nzuri zaidi kwenye kazi hizi ni ile ya njia nne inayoweka alama ya ❌
Matumizi ya njia panda inaweza kuwa kwa madhumuni tofauti, hasa kuleta kitu kuelekea kwako au kutuma kitu kwa mtu mwengine
Unaweza kutumia...
NAKUSHAURI
Watu wengi mnajinyima furaha, watu wengi pale mnapotakiwa kulia hamtaki kulia, pale mnapotakiwa kufurahia hamtaki kufurahia. Watu wengi mnakufa kwa maumivu makubwa ya moyo.
Ngoja nikufundishe kitu.
Siku ukifiwa na mtu unayempenda, lia sana, tena lia kuliko wote ikiwezekana...
Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto....
Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara, kuna msemo unasema "kufungua biashara na kuuza ni vitu viwili tofauti...
Nipo jirani na mwenye nyumba ambae mpangaji wake anatengeneza udongo wa mpemba toka Kigoma baada ya kuambiwa faida zake.
Mwenye nyumba kaanza visa, mara vumbi linaleta mafua, mara unachafua nyumba na vumbi lako.
Hii sio sawa.
Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha.
Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini.
Tanzania nzima inajua...
Natamani ningetumia muda mwingi zaidi pamoja naye. Natamani ningekua namsikiliza na kuongea naye. Natamani ningemtongoza mapema kabla jamaa hajamchukua. Saivi yupo na bwana mwingine. Hiyo ni mifano tu ya majuto. Ukiona unatumia “nge” sana ujue upo kwenye majuto.
Ni kweli umri unaenda lakini...
Ndugu wana jamvi hbr ya leo.
Naandika kwa msisitizo kuwa jitahidi sana sana upunguze kuamini watu katika jambo lolote punguza imani ya kuamini watu ili kuepeuka kuumizwa na kupoteza pesa.
Watu wengi wameumizwa kipesa na kimapenzi na watu waliowaamini, haijalishi ni mtu wako kiasi gani punguza...
Hakuna wakati mzuri wa kujifunza na kujua mengi ya maana kama wakati huu tunapoishi. Mambo mengi yapo vidoleni mwetu una Google tu unayapata.
Lakini la kushangaza vijana wengi wanazidi kuwa wajinga na mandeluche.
Kuna vijana wanaonekana wajanja mdomoni lakini ukiwauliza Dodoma ipo Zanzibar ama...
Habari wakuu!
QGIS ni programu ya bure. Jina QGIS linamaanisha "Quantum GIS" na awali ilianza kama mradi wa Quantum GIS mnamo mwaka 2002. QGIS ni program bora sana kulinganisha na program zingine. Pia ni program rahisi sana kujifunza na kuitumia!
Nitatumia ukurasa huu mara kwa mara kuandika...
Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji.
Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za wakuu Jamiiforums. Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto mzuri lakini anaonekana mapepe kama wale watoto...
Habarini wadau wangu,
Natumai mko vyema na mnaendelea na majukumu yenu ya kutafuta ugali wa kila siku.
Ni bora leo tukaongelea jambo hususani lenye kuleta tija katika mstakabari wa maisha yetu. Je, kwanini unasema maisha yamekuwa magumu, vitu vimepanda kama ndege angani ilahali bado uko...
Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti
1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa
2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani
3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu)
4.miaka 18~25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.