Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'.
Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
Wana Jf
Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao walichukizwa na kitendo kile na kuanza kumtukana wakitaka ajirekebishe, matusi Yale yalimtikia mwanae...
Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe.
Kama wengi wetu tujuavyo, Ndoa ya kwanza ilifungishwa pale Edeni na Mungu mwenyewe. Na ilikuwa ndoa takatifu, iliyobeba msingi na dira ya ndoa nyingine zote zitakazofuata jinsi zinavyopaswa ziwe.
Katika ndoa ile ilihusisha Mtu mume mmoja (Adamu) na...
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"
Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii...
Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi
Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama,
-mantle(2)
-crust(1)
-core(3)
Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
Salam,
Lugha hii ya kichagga (vunjo) ni katika daraja la mwanzo (elementary level). Hongera kwa waandishi. Lengo ni kusambaza ujuzi tu.
Nyie wanyiramba kumbe ni watu wa kutoka Sudan??
Stay safe and enjoy!
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MATUMIZI YA BARAKOA
Uvaaji wa barakoa au “mask” ni moja ya njia za kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Katika kudhibiti kusambaa kwa Virusi vya #Corona
Barakoa inapaswa kuvaliwa endapo unakohoa au kupiga chafya, mtu wa karibu yako ana dalili...
JIFUNZE KUANDAA ANDIKO LA MRADI.
(SOMO LA MSINGI)
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MUUNDO WA ANDIKO LA MRADI NA TAARIFA ZA MSINGI KUHUSU ANDIKO LA MRADI
Je, unaweza kuandika kwa ufupi mambo ya msingi yahusuyo mradi wako? ambayo yanaweza kusomeka kwa wepesi na haraka? yanayoweza kueleweka baina ya...
Wakati naendelea kutafakari juu ya yule mama aliyetoroka katika karantini na kukamatwa na DC Kasesela huko Iringa pia yule jamaa aliyotoka Dubai na kutua JNIA Dsm na kukamatiwa Mwanza akiwa na maambukizi ya Corona ndio ghafla nakutana na mkwara wa Rais Kenyatta wa Kenya.
Rais Kenyatta anasema...
Somo letu la Leo tutazungumzia Jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto. Kwa hivyo kama unafanya biashara, unauza bidhaa au unatoa huduma, labda umeshawahi kujaribu kuandika matangazo lakini hujapata matokeo mazuri basi naomba ufuatilie kwa umakini sana makala hii kwani nataka nikupe fomula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.