Habarini wakuu.
Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana. Hebu soma kisa changu.
Ilikuwa ni mwaka jana(2020) mwezi wa saba nilipoamua kutoka mjini na kuhamia...
Habari wana jamvi, naanza kufundisha javascript programming. Focus kubwa itakuwa katika web development. Utajifunza dynamic web pages.
Gharama ni sawa na bure, utalipia 10,000 na ntafundisha kwa mwezi mmoja. Mfumo wa kufundisha ni whatsapp or telegram kutegemea na mwitikio wenu. Ntaanza rasmi...
Ni jambo lisilofichika sasa kuwa mfumo wetu wa elimu uko dhoofu li hali, kama sio hoi bin taabani. Haumuandai mhitimu kujiajiri au kuweza kutengeneza ajira, hali ni mbaya sana, wahitimu wengi wa elimu ya juu na kati wapo mitaani wakiwa hawajui nini hatima yao.
Viongozi walioshika mpini katika...
Kabla hujafanya uwamuzi wa kununua laptop yako mpya kwa ajili ya matumizi yako ya Graphic designing, Architecture, au Content Creation yafahamu haya.
NI MUHIMU!
• Category hii ya watu wa aina hiyo, wanahitaji PC (Laptop) yenye uwezo wa kustahimili program zao zenye uwezo mkubwa, kama CAD, Adobe...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini.
Chanzo: Swahili Times...
Utangulizi
Katika karne ya sasa, watu wengi wamekumbwa na misongo ya mawazo kutokana na hali tofauti tofauti wanazokutana nazo katika mahusiano. Baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na kushindwa kudhibiti kiasi cha msongo. Wengine wapepoteza ndoto zao, familiya, kazi, masomo na hata...
Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku.
Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
Brother Mako
Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye!
Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo.
Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako usifikie hatua ya kuharibu haiba na taswira ya taasisi ya Urais au rais mwenyewe!. Namaanisha ukimtaja...
Salamu Wana jukwaa.
Niende kwenye maada moja kwa moja,kama unavyojua kwa wale tuliozaliwa vijijini mwanzoni mwa miaka ya sabini mpaka mwanzoni mwa miaka ya themanini.Shule za sekondari zilikuwa chache kwa hiyo waliochaguliwa kutoka shule za msingi kwenda sekondari walikuwa wachache mno wengine...
JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi.
Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa?
Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini?
Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo.
Angalia...
Mnapokuwa kazini hasa kada au ofisi moja sometimes mnajisahau na kujiona kama ni kitu kimoja kwa 100%.
Unapomtembelea mwenzako unaweza kuamkwa na akili utakapoona ana nyumba nzuri zaidi, ana projects ambazo hata kibarua kikiisha au akiamua kuacha kazi hawezi kuyumba.
Pia, ukimkuta amelala...
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
MWACHE AENDE !
• Wewe ni...
Chakula cha mifugo imekuwa changamoto na hivyo kupunguza faida kwa wafugaji, lakini ukiwa na azolla mambo ni tofauti. Unapanda mara moja unavuna kwa mwaka mzima.
Wasiliana nasi tukupatie mbegu za azola pamoja na mbolea za asili kwa ajili ya kurutubisha bwawa.
Tuko Nyasaka Centre jijini Mwanza...
Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako.
Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
Next time nimshauri Zitto na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka media zote nchini.
Natamani kosa kama hili lisijirudie, jipeni muda wakuwasiliana na jamii.
* MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU*
👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio chaguo ni lazima kwa usalama wa KUKU wako
👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku
HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO IPASAVYO
👉Nunua chanjo, kama...
SULUHISHO LA KUKU KUPUNGUZA KUTAGA
1. Wakague kuku wako na ukiwakuta wana utitiri au viroboto waogeshe kwa FIPROFARM AU TUMIA AKHERI POWDER
2. waongezee GLP katika chakula chao na Tumia LAYVITA (vitamin mahususi kwa kuku wanaotaga) kwa ajili ya kuzuia tatizo la upungufu wa virutubisho
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.