jifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mengi Ayoub

    Jifunze namna ya kuitega pesa

    Habari wakuu... Kwanza kabisa inatakiwa tuelewe kuwa kuna tofauti Kati ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa. Mimi na wewe tunajua namna ya kutafuta pesa lakini watu matajiri wanajua namna ya kutengeneza pesa. Tofauti ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa ni kuwa pesa haitaki kuonwa wala...
  2. tujuemoja

    SoC02 Jifunze kukumbuka, lazima utasahau

    "Watu wengi wakimaliza vyuo wanakwenda mtaani mahali ambapo kuna malengo yao, yanawasubiri Lakini hakuna anayejua kama ndio malengo yake" Mitazamo na mifumo yetu ya elimu, imewapa giza vijana, Wamekuwa wakiamini na kuaminishwa Shuleni ndio mahali pekee na bora katika kufanikiwa kimaisha huku...
  3. Tango73

    George Mpole jifunze kwa Adam Salamba

    George upo bawna mdogo! Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa. Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa Simba. Yusuph Mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa Simba. Nasema mkeka wa...
  4. Naja naja

    Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  5. Nafaka

    Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

    Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa. Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi. Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia...
  6. Spaghetti

    Jifunze namna ya kuandika mkataba kisheria unapouza au kununua

    MKATABA MZURI HUWA NA HAYA: ( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M. Archard. Jina linatakiwa liwe katika ukamilifu wake na hasa pawe na majina matatu kamili. Pia...
  7. JituMirabaMinne

    Kwanini tunafunga GPS trackers kwenye Magari?

    Ukitaka kufunga GPS tracker kwenye chombo chako mathalani gari.... Weka mezani lengo la kufunga tracker kwenye gari lako. 1. Je unahitaji kufunga tracker kwa ajili ya kufatilia mizunguko ya gari lako? 2. Au unahitaji tracker ya kukupa update ya location gari lako likiibiwa? Kuna utofauti...
  8. S

    Jifunze Cloud infrastructure na android development

    Kwa mwaka wa tatu program ya ufazili wa kujifunza Cloud infrastructure na android development kupitia pluralsight,Google na Andela Deadline ya kuingia 31-05-2021 Tusipitwe na fursa hii muhimu. Tembelea website ya Andela au pluralsight kufanya application.
  9. Q

    Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  10. Jumanne Mwita

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  11. Namuchi braver

    Jifunze kitu hapa👇👇

    Vijana wengi tunaona maisha magumu sana sio kwamba hatujitumi, hapana. Ila shida ni kutaka kujilinganisha na mafanikio ya watu waliokizi umri wa utafutaji, ingawa pia wapo tunajilinganisha na rika letu, hata hivyo tunasahau historia au hali ya uchumi wa familia zao Ninachoamini kipi? Kwangu...
  12. L

    Usikate tamaa ila jifunze kujua mda sahihi wa kuachilia jambo

    USIKATE TAMAA VS MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MWENGINE HUFUNGUKA. Sio kila kitu uking'ang'anie jifunze kujua mda sahihi wa kuondoka na kuachilia kitu ambacho sio sahihi kwako. Point ni hivi, kama kitu kinakufanya unakosa amani, kinakufanya unadhohofika afya yako, kinakufanya uwe mbali na Mungu...
  13. L

    Jifunze jinsi ya kupanga bei kulingana na aina ya bidhaa unayouza

    PRICE ELASTICITY OF DEMAND Hapa tunaongelea jinsi gani ambavyo bei ya bidhaa inaweza athiri uhitaji wa hio bidhaa (demand). Inaeleza jinsi tabia ya mteja inavyobadilka kulingana na bei ya bidhaa. Kwenye sheria ya demand inasema kwamba bei inavyoongezeka basi ni lazima demand ya kitu ipungue...
  14. Beeb

    Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

    Mahitaji -Sukari ya brown kikombe kimoja -Kahawa ya brown nusu kikombe -Mafuta ya mzeituni nusu kikombe -Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp) Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo. Hii...
  15. OLS

    Jifunze kuhusu 'Sampling Design' nzuri kwa utafiti wako

    Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni jambo muhimu sana kwa ulimwengu wa watafiti as it shows vitu umeviandika na kuvidadisi kwa undani na...
  16. Nyendo

    Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  17. maishapopote

    Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

    Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada, bei hata hawabargain unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator...
  18. OLS

    Jifunze haya unapoandaa Questionnaires

    Tafiti ni requisite kwa wanafunzi wa Masters na Phd ambapo kwa sasa wanatakiwa kuwa na publication kwa wanaofanya masters by thesis, huku Phd Ikiwa ni lazima kuwa na publications mbili kwenye reputable Journal Choices za data za kutumika hutegemea na study na upatikanaji ambapo kwa baadhi ya...
  19. Online Pro

    Nafundisha na Kutengeneza Proffesional CV, Proposal, Presentation & Digital Marketing (SEO, Affiliate Marketing)

    Habari, Kwa yeyote anaehitaji/ unamfahamu anahitaji huduma ya kujifunza au kutengeneza Profesisional Business Pieces(Documents), CV-Curriculum Vitae, Proposal, Presentation & huduma za Digital Marketing. Tuwasiliane kwa namba: +255 688 372 118
  20. B

    'Huduma Pamoja' kupitia Shirika la Posta inalenga nini?

    "Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja. Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile Nimeona...
Back
Top Bottom