jifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

    Niwe muwazi na mkweli. Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023. Tumepatwa na kila aina ya dhoruba. Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui...
  2. Determinantor

    Nimetapeliwa/kuibiwa kiboya sana, ilinibidi nicheke tu. Jifunze hapa

    Kwanza nikiri kuwa February 2023 haikua nzuri sana kwangu maana ile 5 February 2023 nilikua safarini, jamaa wakapita na bag la laptop. Lilikua na vitu kibao....hio tuache! Siku chache kabla ya Safari yangu ya Mkoani, nilifika Sinza Makaburini nikitokea shekilango. Kuna Traffic Lights za...
  3. ChatGPT

    Majadiliano Juu ya Mahusiano: Jifunze Kutoka Kwa Wengine

    Mada hii inahusu majadiliano kuhusu mahusiano na jinsi ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tunaweza kuzungumzia mambo kama vile jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako, jinsi ya kutatua migogoro na jinsi ya kudumisha mapenzi yako. Kila mtu ana uzoefu tofauti katika mahusiano, na kwa kushirikisha uzoefu...
  4. AbuuMaryam

    Jifunze hili kwenye hili sakata la ndoa ya Dr. Mwaka na Bakwata

    Salamu zenu... Dini ya kiislaam ni dini ambayo hakuna kitu kuhusu maisha ya mwanadam hakijawekwa wazi utaratibu wake... KILA KITU KATIKA MAISHA YA MWANADAM KIMEWEKEWA UTARATIBU KATIKA UISLAAM...KUANZIA KWENYE QUR-AN HADI HADITH ZA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم. NDOA, TALAKA, NA MIRATHI...
  5. U

    Jifunze mambo yanayosababisha ushindwe kufanya jambo kwa viwango vikubwa

    Habarini, Ningependa tujifunze baadhi ya makosa tunayoyafanya,na husababisha tushindwe kufanya mambo kwa viwango vikubwa. Ningependa kutumia kitabu cha ONE THING. Kitabu kinachoelezea kuwa umuhimu wa kufanya mambo kwa mpangilio. Suala ni kwamba wote huwa tuna malengo,ila malengo au ndoto zetu...
  6. Mung Chris

    Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
  7. mitale na midimu

    Sababu kwanini Matajiri wengi hawaendi Makanisani, na wakienda wanaenda wakiwa wamechelewa sana

    1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero. 2. Mahubiri mengi yamelenga...
  8. B

    Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa). Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa. Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi...
  9. mitale na midimu

    Makosa kadhaa katika kutoa Pepo (Exorcism). Mapepo/Majini hayaombewi yanafukuzwa

    Kumekuwa na sintofahamu katika namna ya kushughulikia Hawa vibaraka wa ibirisi. Mapepo Kwa aina zake. Makosa ambayo nayaona. 1: Watu wanaomba na mapepo, Tena wanapiga na Magoti na kufumba macho. Hakuna hiyo scene kwenye maandiko. Hatuombei mapepo tunayafukuza. Yakikomaa na sisi tunakomaa Hadi...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

    Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba. Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe...
  11. mitale na midimu

    Jifunze kuwakimbia watu wanaopenda kulaumulaumu na malalamiko: Watakuambukiza

    Malalamiko na lawama yanamatokeo Hasi Sana Kwa wanayoyapenda . Yanaathari kubwa Kwa uchumi,afya ya kimwili na kiakili. Ndio maana Kuna nchi Moja Scandinavia Kuna Sheria inayopinga kulalamikia vitu ambavyo havibadilishiki. (it is illegal to complain). Hasa kulalamikia baridi Kali. Wabongo wengi...
  12. Ghost MVP

    Jifunze kuhusu utapeli mitandaoni na namna ya kuwatambua

    Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa. Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli. Namna ya...
  13. sifi leo

    Laana inavyomtesa mteule na rafiki wa Rais. Asante mama kwa simulizi, hii ewe mtumishi jifunze jambo

    Nikiwa nimeshika zangu Mswaki, huku huku Mama mzaa Chema akiwa amejiinamia anakosha vyombo, mara gafla chema, Akaanza stori zake na mama yake! Chema ;Ma hivi wajua yule mkurugenzi hajawai tuandikia hata barua za kututambua sisi kama watoa huduma wake kwenye wilaya yake?'' Ma:'' mmmh mpaka leo...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Rais Samia, una kitu cha kujifunza kutoka Zambia, jifunze!

    JE, ZAMBIA NI SHULE YA DEMOKRASIA? Miaka ya 1990s kulifanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia, Rais Kenneth Kaunda, baba wa taifa la Zambia alishindana na mwanasiasa kijana wa upinzani Frederick Chiluba akashindwa uchaguzi ule. Mzee Kaunda(Mungu amrehemu) alipelekewa taarifa...
  15. Artifact Collector

    Jifunze kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

    Uandishi sio mzuri sana UTANGULIZI Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo za Dunia, kwanin ni ngumu sana kukuta tajiri na ameokoka hata kama unamafanikio kitendo Cha kusema...
  16. Bexb

    Je, unahitaji kufungua kampuni ya ulinzi? Basi jifunze hapa!

    Habari ya usiku wakuu, nawiwa kushare machache kuhusu mada tajwa hapo juu. Watu wengi wamekua wakitamani ama kuwa na mpango wa kufungua kampuni inayotoa huduma za ulinzi katika maeneo mbali mbali. Ni rahisi sana kwani mtu huweza kufanya shughuli hii akiwa binafsi ama kupitia kampuni na mahitaji...
  17. Kurunzi

    Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

    "Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
  18. Neter

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  19. Investaa

    Jifunze kuhusu "Stock Market"

    Habari wana JF! Napokea message PM kuhusu platform ya ku invest stock market kwa watanzania, platform nyingi za stock market especially US STOCKS ni kama hakuna zaidi ya TRADING212 ambayo mimi nilijiunga 2020 nilitaka kununua US STOCKS kama AAL, PK, OIL STOCKS. Ambazo zinafanya vizuri sana...
  20. Mr George Francis

    Namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi

    UTETEZI WA KIJINAI DEFENSES IN CRIMINAL CASES. Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii. Imeadaliwa na Mr. George Francis. Email: mr.georgefrancis21@gmail.com Zifuatazo ni baadhi ya aina za utetezi wa makosa ya...
Back
Top Bottom