Muangalie Anayekushinda: Jifunze Tabia Zake

Dr Arshavin

Member
Joined
May 14, 2024
Posts
26
Reaction score
80
MUANGALIE MTU ANAYEKUSHINDA... KISHA UJITAZAME WEWE

Nataka ufanye kitu kimoja leo.

Muangalie mtu ambaye ni bora kuliko wewe hapo kazini.

Muangalie mwanafunzi ambaye kila mara anapata matokeo makubwa kuliko wewe darasani.

Muangalie mfanyabiashara ambaye biashara yake inakua kwa kasi kuliko yako.

Muangalie mtu ambaye mwili wake una afya kuliko wako.

Muangalie mtu ambaye maisha yake yanaonekana kwenda mbele kuliko yako.

Usimuangalie kwa wivu.

Usimuangalie kwa hasira.

Usimuangalie kwa sababu unataka aanguke.

Muangalie kama mwanafunzi anayesoma somo.

Kwa sababu mara nyingi siri ya mafanikio haijifichi kwenye vipaji. Inajificha kwenye tabia. HABIT

Sasa angalia tofauti yake na yako.

Yeye anatumiaje muda wake?

Yeye anaongeaje?

Yeye anasomaje?

Yeye anashughulikiaje matatizo yake?

Yeye anatumiaje simu yake?

Yeye anatumiaje weekend zake?

Yeye anachagua marafiki wa aina gani?

Yeye anafanya nini wakati wewe umelala?

Na wewe unafanya nini wakati yeye anajijenga?

Angalia kila kitu chake yani ikiwezekana jipendeze kwake upate kujua baadhi ya siri zake ndogo ndogo za mambo ambayo hua anayafanya wakati hakuna anayemuangalia.

Angalia kila kitu chake na usiache dogo wala kubwa we angalia kila kitu.

Hapo ndipo jibu lilipo.

Watu wengi wanataka matokeo ya mtu mwingine lakini hawataki kuishi maisha ambayo huyo mtu anaishi.

Wanataka mwili wake lakini sio mazoezi yake.

Wanataka pesa zake lakini sio nidhamu yake.

Wanataka mafanikio yake lakini si kujinyima kwake.

Wanataka heshima yake lakini si kazi aliyofanya gizani wakati hakuna aliyekuwa akimuona.

Ukweli ni huu:

Mara nyingi mtu anayekushinda hakushindi kwa sababu ana akili nyingi kuliko wewe.

Hakushindi kwa sababu amebahatika kuliko wewe.

Hakushindi kwa sababu nyota yake inang'aa na ni nzuri kuliko yako. Nop!

Anakushinda kwa sababu kuna mambo anayafanya kila siku ambayo wewe huyafanyi.

Wakati wewe unasema nitafanya kesho, yeye anaanza leo.

Wakati wewe unasubiri motivation na mood nzuri ili ufanye kitu, yeye anafanya kazi hata bila motivation.

Wakati wewe unatafuta sababu, yeye anatafuta suluhisho.

Wakati wewe unatafuta starehe za muda mfupi, yeye anachagua maumivu madogo ya leo kwa ajili ya maisha bora ya kesho.

Wakati wewe umemaliza kula ugali wa saa sita na kujilaza kitandani ukiscroll TikTok kwa saa mbili, yeye anaweza kuwa anasoma kitabu.

Anaweza kuwa anajifunza skill mpya.

Anaweza kuwa anajenga biashara yake.

Anaweza kuwa anafanya mazoezi.

Anaweza kuwa anarekebisha makosa yake ya jana.

Anaweza kuwa anajiandaa kwa maisha anayoyataka miaka mitano ijayo.

Na hicho ndicho kinachowafanya watu watofautiane.

Maisha hayabadilishwi na maamuzi makubwa ya mara moja eti kun faya kun, nop!

Yanabadilishwa na maamuzi madogo madogo yanayorudiwa kila siku. Mafanikio hujengwa zaidi na mifumo na tabia za kila siku kuliko mlipuko mmoja wa nguvu au motivation.

Mchawi Repetion + Consistency!!

Ndiyo maana ukitaka kuwa bora zaidi, acha kuuliza:

"Nina tatizo gani?"

Anza kuuliza:

"Huyu mtu anayenishinda anafanya nini tofauti na mimi?"

Hilo ni swali la watu wanaokua.

Kwa sababu kila mtu anayekuzidi mahali fulani ana kitu cha kukufundisha.

Mwizi mzuri wa mafanikio sio yule anayeiba pesa.

Ni yule anayeiba mifumo.

Iba mfumo wake wa kusoma.

Iba mfumo wake wa kupanga muda.

Iba mfumo wake wa kufikiria.

Iba mfumo wake wa kujifunza.

Iba mfumo wake wa kujidhibiti.

Maana matokeo makubwa huwa ni kivuli cha mifumo mizuri.

Na kama ukipata nafasi ya kuwa karibu na mtu huyo, basi tumia nafasi hiyo vizuri.

Kaa naye.

Msikilize.

Muulize maswali.

Jifunze anavyofikiri.

Jifunze anavyopanga siku yake.

Jifunze anavyoshughulikia kushindwa.

Jifunze anavyopambana na uvivu.

Jifunze anavyobaki na nidhamu hata siku ambazo hajisikii kufanya kazi.

Usikaribie watu walio mbele yako kwa ajili ya picha.

Karibia kwa ajili ya maarifa.

Kwa sababu ukikaa karibu na moto, utaanza kupata joto.

Na ukikaa karibu na watu wanaokua, kuna uwezekano mkubwa na wewe ukaanza kukua.

Jipendekeze na uwe chawa wa huyo mtu!

Lakini kuna jambo moja la mwisho.

Usijaribu kuwa nakala yao.

Jifunze kutoka kwao, lakini baki kuwa wewe. Be you.

Chukua tabia zao nzuri.

Chukua mifumo yao mizuri.

Chukua nidhamu yao.

Chukua mtazamo wao.

Halafu changanya na utu wako.

Kwa sababu lengo lako sio kuwa wao.

Lengo ni kuwa toleo bora zaidi la wewe mwenyewe.

Ukiona mtu anakushinda, usiumie.

Usikasirike.

Usitafute visingizio.

Mshukuru kimya kimya.

Kwa sababu amekuonesha kiwango kingine kinawezekana.

Kama yeye ameweza basi na wewe unaweza pia.

Na mara nyingi tofauti kati yako na mtu unayemvutia leo sio miaka, sio bahati na sio akili.

Ni tabia chache tu ambazo zimejirudia kwa muda mrefu.

Badili hizo tabia.

Na baada ya muda...

Watu wataanza kukuangalia wewe kwa jicho lile lile ambalo leo unawaangalia wao.

Kesho na wewe utakua mentor wa wengine! Anza leo, be you.
 
well done,
naunga mkono hoja gentleman 👊
 
Muangalie Anayekushinda: Jifunze Tabia Zake" ni msemo au falsafa yenye maana kubwa katika safari ya maendeleo binafsi, biashara, na mafanikio kwa ujumla. Badala ya kuona wivu au kukata tamaa unapomwona mtu aliyekuzidi, unapaswa kutumia nafasi hiyo kama darasa la kujifunza siri za mafanikio yake.
 
Maandiko mazuri ila marefu
 
Back
Top Bottom