10 years of Diamond Platnumz

Hongera Zake kabisa tokea mbagala mpaka na leo amejitahidi ningekuwa ndugu yake ningemwombea dua andelee na jitihada zake .
Yaani watu wamemuona tokea hana mpaka anazo .
Kuimba nikipaji ila yeye anajua kuburudisha jamii.
Nakuwasaidia pia kweli mimi naona kajitahidi.
 
watoto wanne kwa mama watatu

Hapo naona ndo wanafanana na kiba
Kwani KIBA si anawatoto sita sijui saba na kila mtu anamama yake .
Usihukumu watu bhana mpe haki yake hongera Diamond sio tunamfagilia mtu akifanya bidii basi mpongezeni.
Naakili hauna kwasababu hatuongelei maisha yake ya nyumbani private life tunaongelea kazi yake ambayo ni muziki mbona wewe una watoto kama shule tena ya msingi na kila mmoja anamama yake au baba ake na hatusemi
 
Katoto leo umeongea point kubwa Sana.
 
Bajaj 30 za wapi hizo?
Bima ya 30000 kwa wamama 40 ni 1200000

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye roho mbaya zao, na wewe toa hizo bima za 30000 hata kwa watu 5 hapo mtaani kwako tuone. Kama hujui alishatoa bodaboda za mkataba mapato yanaenda serikali ya mtaa Tandale, kwa hesabu nilizopiga kipindi kile kila mwezi serikali ya mtaa ingekusanya pesa kununua piki piki nyingine na Mondi aliagiza utaratibu huo ili kuwawezesha vijana wenigne pia wapate piki piki mbali na alizopeleka, We umekaa hapo umening'iniza kende sijui vulva unataka na we akuletee hela? jitume kwanza uwezeshwe sio unakuwa na majungu afu usikute na we eti mwanume, i pray uliye post uwe mwanamke, kama ni mwanaume nakutaarifu tu mi mende na natembea na ganda la kibiriti, ntakutafuta nikuchukue vipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…