Treni ina vitanda, ina vyoo na mabafu. Ina Restaurant (Bar) pia.Hivi hili treni la Diamond limeshafika Dodoma? I can imagine tangu jana watu hawajaoga wala kupiga mswaki, yaani wanakunywa tu pombe na kucheza kibao kata. Eew!
Treni ina vitanda, ina vyoo na mabafu. Ina Restaurant (Bar) pia.
Acha ushamba mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mrembo umepaniki balaa,uko mwezini bila shaka.
Jukwaa Ni kazi ya thud Thomas. Ameweza Sana aiseeHongera zake Diamond for 10years za muziki wa Bongo
Tukiacha Unafiki na zile roho zetu za kwapa mshkaj kajitahd sana tukiachana na Mapungufu ya hapa na pale.
Nmefurah sana kuhusu stage maana nafikr ile stage ya Fiesta ilimkumbusha kitu kwamba Presentabl stage pia ni kitu muhimu kwenye show.
All in all hongera sana kwake.
Ili watu wa ujiji waabudu mkuu.Kwann stage imetengenezwa mfano kwa msikiti?