10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

Hivi hili treni la Diamond limeshafika Dodoma? I can imagine tangu jana watu hawajaoga wala kupiga mswaki, yaani wanakunywa tu pombe na kucheza kibao kata. Eew!
Treni ina vitanda, ina vyoo na mabafu. Ina Restaurant (Bar) pia.
Acha ushamba mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo hapa naangalia show ya miaka 10 ya diamond platnumz kupitia WASAFI TV duh hii stage si ya mchezo imetengenezwa Kama ghorofa fulani hiv mc anakaa juu ya hiyo ghorofa alafu anatambulisha wasanii alafu wasanii wapo ndani ya hiyo ghorofa.

Nimependa Sana Huu ubunifu big up to him na waandaji wote was hii stage.
 
Nilimuona kwny treni anawagawia buku 2 buku 2 nyiingi wale wadada wanao chomekea chupi kwny madela na kukatika.

Big up sana kwake diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera zake Diamond for 10years za muziki wa Bongo

Tukiacha Unafiki na zile roho zetu za kwapa mshkaj kajitahd sana tukiachana na Mapungufu ya hapa na pale.

Nmefurah sana kuhusu stage maana nafikr ile stage ya Fiesta ilimkumbusha kitu kwamba Presentabl stage pia ni kitu muhimu kwenye show.

All in all hongera sana kwake.
 
Jukwaa Ni kazi ya thud Thomas. Ameweza Sana aisee
 
Back
Top Bottom