10 years of Diamond Platnumz

Yaani TID kwenye show ya Diamond yeye kawa msindikizaji. Yaani anapanda stage kabla ya Queen Darlene? Kweli maisha siyo fair
 
Sidhani kama ina jambo....wasanii wana namna za kufurahisha
 
Yaani TID kwenye show ya Diamond yeye kawa msindikizaji. Yaani anapanda stage kabla ya Queen Darlene? Kweli maisha siyo fare
Ahahaahahahaaha maisha ni fair kabisa kila nabii na nyakati zake
 
Miaka 10 on TOP sio mchezo
 
Polepole naye anataka kutuharibia shughuli yetu,apumzike asubirie kampeni 2020,hii ni show yetu ya miaka 10 ya Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…