10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

29BF59F8-AA72-4A78-A28A-0CC683781666.jpeg
 
Yaani TID kwenye show ya Diamond yeye kawa msindikizaji. Yaani anapanda stage kabla ya Queen Darlene? Kweli maisha siyo fair
 
Yaani TID kwenye show ya Diamond yeye kawa msindikizaji. Yaani anapanda stage kabla ya Queen Darlene? Kweli maisha siyo fare
Ahahaahahahaaha maisha ni fair kabisa kila nabii na nyakati zake
 
Nipo hapa naangalia show ya miaka 10 ya diamond platnumz kupitia WASAFI TV duh hii stage si ya mchezo imetengenezwa Kama ghorofa fulani hiv mc anakaa juu ya hiyo ghorofa alafu anatambulisha wasanii alafu wasanii wapo ndani ya hiyo ghorofa.

Nimependa Sana Huu ubunifu big up to him na waandaji wote was hii stage.
Miaka 10 on TOP sio mchezo
 
Polepole naye anataka kutuharibia shughuli yetu,apumzike asubirie kampeni 2020,hii ni show yetu ya miaka 10 ya Diamond.
 
Back
Top Bottom