10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

Ajifunzi nae hakuna msanii aliyetumika na ccm akabaki kwenye Game,ilikuwa ni uzinduzi wa kampeni ya ccm na sio show.
Watu wamelipa hela wapigiwe show na sio kupigiwa kampeni hapo ni kuwaibia wateja.
 
Wateja gani kiingilio miguu yao ..show ya bure iyo

Ukitaka cha bure uta papaswa ata mat*ko
Ajifunzi nae hakuna msanii aliyetumika na ccm akabaki kwenye Game,ilikuwa ni uzinduzi wa kampeni ya ccm na sio show.
Watu wamelipa hela wapigiwe show na sio kupigiwa kampeni hapo ni kuwaibia wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kiba yeye anazungumziaje swala hilo???
Tatizo hapendi SHOW OFF hahahahahhh, ila KIBA kusema kweli tukiachana na unafiki kaachwa mbaliii sana kwa kila kitu na huyu... Sema tu ndio kujikaza tu kama Yanga anavyotaka kujimwambafy mbele ya MNYAMA wakati ukweli anaujua...
 
Back
Top Bottom