We jamaa una A ngapi za form four na six. You are brightKulingana na qurani takatifu uko sawa, kulingana na Biblia Takatifu niko sawa. Naongea kutoka kwenye mamlaka ya maandiko matakatifu yaitwayo Biblia
Hiyo list ya pili ni kwa ajili tu ya kupunguza jazba za watu, ile ya kwanza ndio yenyewe. Bila shaka hata wewe umeligundua hilo ndio maana ukauliza! Kwa ufupi, list ya pili ipo kisiasa zaidi!Umechakachuwa.
Namba 1 juu Jesus, hapohapo chini kidogo Namba 1 Muhammad.
Yaani huyo ana impact kubwa duniani kuliko Nkrumah na Garvey?
"Garveyism is the term used to describe the body of thought and organizational activities associated with Marcus Mosiah Garvey of Jamaica. In 1914, Garvey organized the Universal Negro Improvement Association and African Communities League (the UNIA). The basic organizing principle rested on the establishment of an international organization that constituted a government in exile for a revitalized African people in global dispersion from their homeland. The goals and principles appealed mainly to segments of the working class who sought a clearer identity along racial lines as well as a means to express their rising sense of group destiny, a nationalistic phenomenon observable around the globe in the aftermath of World War I. Millions joined the UNIA globally; several thousands belonged locally" - Garveyism
Ina maana hata mzee Madiba amemzidi Mo !? He he heee!HTML editor tatizo la ku-copy na kupaste. Muhammad namba 11, siyo 1
Ukosoma kitabu cha Principles na falsafa za Marcus utagundua na kufahamu kuwa Marcus ana link kubwa kwa Haile Selassie. Marcus ndiye aliyetabiri ujio wa Greatest Black King katika Ushairi wake wa mwaka 1923 na mwaka 1930 yalitimia maneno yake. Marcus alikuwa motivated sana na Kusimikwa Ufalme wa Ethiopia Haile Selassie. Aliwahi kusema ndiye mwafrika wa kwanza kusujudiwa na wazungu. Na ni kweli. Ndiye mtu wa kwanza mweusi Malkia Elizabeth II aliyemuinamia na kumpa heshima alipomwona. Ilimpa motivation sana Garvey. Alipokuwa mdogo aliwahi kuota ndoto ya Mfalme mweusi anainamiwa na mzungu na alihisi ametimiza kuona ndoto ile.
Wafuasi wa Back to Africa movement wengi walikimbilia Liberia na Wengine Haile Selassie aliwapa Sehemu yake ya eneo lake Binafsi wakae na kuwatunza na mpaka leo wapo Shashamane Ethiopia.
Kwame alisaidiwa sana na Haile Selassie kushinda ukoloni nchini kwake na walikuwa marafiki sana. Ila wote walishirikiana sana katika kumtetea mtu mweusi.
Haile ndie nayetambulika kama Mfalme aliyeweka historia kubwa Kiimani na kihistoria ya mwafrika. Aliwasaidia viongozi wa Afrika kijeshi na ndiye mweusi wa Kwanza kusimama League Of Nation (Umoja wa Mataifa) kumtetea mtu mweusi. Ndiye mwanzilishi umoja wa Afrika na kiongozi wa Kwanza wa AU. Na kupewa heshima yake kwa kuweka makao makuu kuwa Mjini mwake.
Ila yote hayo...tuwaenzi leaders wetu waliotupigania mpaka hapa. Wanahistoria kubwa sana.
Hiyo list ya pili ni kwa ajili tu ya kupunguza jazba za watu, ile ya kwanza ndio yenyewe. Bila shaka hata wewe umeligundua hilo ndio maana ukauliza! Kwa ufupi, list ya pili ipo kisiasa zaidi!
Umesoma mstari wa Bible, hujaisoma Bible. Biblia sio ya kunukuu na kufunika kama hicho kitabu kingineList ya kwanza mimi imenifurahisha zaidi kwani ina yakinisha tunavyoamini Waislaam kuwa Yesu ni mtume wa Mungu na si Mungu, angekuwa ni Mungu kweli msingemuweka kumfananisha kwenye ranking za watu. Upo hapo ulipo?
Yesu si Mungu ni mwana wa Mungu