10M biashara ipi ifanyike kwa mji wa Katoro, Geita?

agatthi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
146
Reaction score
174
Habari Waungwana!

Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame.

Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa asilimia kubwa.

Nawasilisha.

Napitia michango yenu.
 
Nafuatilia huu Uzi kwa makini, nipo Nyarugusu GEITA
 
Habari Waungwana!

Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame.

Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa asilimia kubwa.

Nawasilisha.

Napitia michango yenu.
Soma gap apo mkuu
 
Kuna ulazima wa Katoro??? If not jaribu kwenda Nyang'hwale kuangalia na kusoma mazingira. naona kama pamekaa kifursa zaidi na competition ya kibiashara bado ndogo. So ukienda kule unakuwa dominant

Natype nikiwa Lwamgasa.
 
MREJESHO AWALI: Nimeenda mjini wa Katoro nimekaa wiki mbili. Nimejifunza mengi sana. Hivi mnajua mji huu una vitongoji/mitaa yake ie. Kilimahewa, CCM, Kariakoo, Mchangani, Mtunduni, Njiapanda, Stamico, Mtakuja, Israel n.k hii mitaa inachangamka. Mji wa Katoro una kata takribani 4 za kiutawala ie. Katoro, Ludete, Kaseme n.k

Nilichojifunza kila mtaa/kitongoji kina changamoto yake! Sasa siendi huko Nyarugusu au Nyang'wahale kama wengi mlivyoshauri. Ninakomaa na jiji hili kama Shilole

Kuna mtaa/kitongoji nimeona nifanye biashara fulani kwa 10M zangu. Siogopi chochote.

Nimepata frame, soon Biashara inaanza!!!

SITOKI HAPA.
 
Walaji walaji... naangalia walaji. Nabaki Katoro.
 
Mkuu mm nipo katoro kama hutojali karibu kwa ajili ya kushirikishana fursa za mji huu.
 
Kila la kheri mpambanaji mwenzangu.
MREJESHO AWALI: Nimeenda mjini wa Katoro nimekaa wiki mbili. Nimejifunza mengi sana. Hivi mnajua mji huu una vitongoji/mitaa yake ie. Kilimahewa, CCM, Kariakoo, Mchangani, Mtunduni, Njiapanda, Stamico, Mtakuja, Israel n.k hii mitaa inachangamka. Mji wa Katoro una kata takribani 4 za kiutawala ie. Katoro, Ludete, Kaseme n.k

Nilichojifunza kila mtaa/kitongoji kina changamoto yake! Sasa siendi huko Nyarugusu au Nyang'wahale kama wengi mlivyoshauri. Ninakomaa na jiji hili kama Shilole

Kuna mtaa/kitongoji nimeona nifanye biashara fulani kwa 10M zangu. Siogopi chochote.

Nimepata frame, soon Biashara inaanza!!!

SITOKI HAPA.
 
Mkuu umeona fursa ipi iko makini sana kwa hapo nami nisogee huko.
Karibu Katoro tuwekeze MKUU.

Nimetumia wiki mbili, nimeongea na kila rika; madalali, wafanyabiashara aina zote.

Nimefaidika sana.
 
Mkuu umeona fursa ipi iko makini sana kwa hapo nami nisogee huko.
Kila kitu fursa.

Ukiwa na pesa mingi njoo utoe huduma za afya, Hospital ya maana.

Au biashara zote ndogo. Fungua liquor store.. Uzuri kuna vijimtaa vingi hapa.

Karibu
 
Habari Waungwana!

Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame.

Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa asilimia kubwa.

Nawasilisha.

Napitia michango yenu.
Nipo Buseresere mkuu...ukikosa wa kuajiri nipo tayali.
Ila katoro biashara ya nguo na viatu
Hardware na phone accessories zinalipa sana.
Zaidi nafaka mchele unalika sana mkuu. Kwa utafti wangu.
 
Back
Top Bottom