Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma gap apo mkuuHabari Waungwana!
Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame.
Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa asilimia kubwa.
Nawasilisha.
Napitia michango yenu.
Kuna ulazima wa Katoro??? If not jaribu kwenda Nyang'hwale kuangalia na kusoma mazingira. naona kama pamekaa kifursa zaidi na competition ya kibiashara bado ndogo. So ukienda kule unakuwa dominantHabari Waungwana!
Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame.
Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa asilimia kubwa.
Nawasilisha.
Napitia michango yenu.
Walaji walaji... naangalia walaji. Nabaki Katoro.Kuna ulazima wa Katoro??? If not jaribu kwenda Nyang'hwale kuangalia na kusoma mazingira. naona kama pamekaa kifursa zaidi na competition ya kibiashara bado ndogo. So ukienda kule unakuwa dominant
Natype nikiwa Lwamgasa.
Nini hasa kimekufanya ubaki katoro.Nalazimisha tu.
Siachi keki hii
buchossa pia pako saf sana watu wa kutoshaNalazimisha tu.
Siachi keki hii
Karibu katoroNafuatilia huu Uzi kwa makini, nipo Nyarugusu GEITA
Mkuu mm nipo katoro kama hutojali karibu kwa ajili ya kushirikishana fursa za mji huu.MREJESHO AWALI: Nimeenda mjini wa Katoro nimekaa wiki mbili. Nimejifunza mengi sana. Hivi mnajua mji huu una vitongoji/mitaa yake ie. Kilimahewa, CCM, Kariakoo, Mchangani, Mtunduni, Njiapanda, Stamico, Mtakuja, Israel n.k hii mitaa inachangamka. Mji wa Katoro una kata takribani 4 za kiutawala ie. Katoro, Ludete, Kaseme n.k
Nilichojifunza kila mtaa/kitongoji kina changamoto yake! Sasa siendi huko Nyarugusu au Nyang'wahale kama wengi mlivyoshauri. Ninakomaa na jiji hili kama Shilole
Kuna mtaa/kitongoji nimeona nifanye biashara fulani kwa 10M zangu. Siogopi chochote.
Nimepata frame, soon Biashara inaanza!!!
SITOKI HAPA.
MREJESHO AWALI: Nimeenda mjini wa Katoro nimekaa wiki mbili. Nimejifunza mengi sana. Hivi mnajua mji huu una vitongoji/mitaa yake ie. Kilimahewa, CCM, Kariakoo, Mchangani, Mtunduni, Njiapanda, Stamico, Mtakuja, Israel n.k hii mitaa inachangamka. Mji wa Katoro una kata takribani 4 za kiutawala ie. Katoro, Ludete, Kaseme n.k
Nilichojifunza kila mtaa/kitongoji kina changamoto yake! Sasa siendi huko Nyarugusu au Nyang'wahale kama wengi mlivyoshauri. Ninakomaa na jiji hili kama Shilole
Kuna mtaa/kitongoji nimeona nifanye biashara fulani kwa 10M zangu. Siogopi chochote.
Nimepata frame, soon Biashara inaanza!!!
SITOKI HAPA.
Karibu Katoro tuwekeze MKUU.
Nimetumia wiki mbili, nimeongea na kila rika; madalali, wafanyabiashara aina zote.
Nimefaidika sana.
Watu wengi.Nini hasa kimekufanya ubaki katoro.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nipo Buseresere mkuu...ukikosa wa kuajiri nipo tayali.Habari Waungwana!