11 Tips 4 Financial Independence. Ukifahamu you are good

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
767
Reaction score
1,657
1 • 90% ya watu hawasave pesa. Ndiyo maana 90% ya watu ni masikini.

2 • Watu wengi wanapoteza Pesa kununua vitu wasivyohitaji kwa pesa wasizokuwa nazo ili kuwafurahisha watu wasio wajua. Think about that.

3 • Kusave pesa ni tabia ya tajiri. Masikini yeye ni kutumia tu.

4 • Ili ubadilike kutoka masiki kuwa tajiri inabidi ubadili mindset yako kutoka poverty mindset to rich one.

5 • Financial Independence ni state of mind inayo attract good money management. If you can manage your money you are good my friend.

6 • Watu masikini wanafanya kazi kama watumwa wapate pesa. Tajiri anafanya kazi for pleasure.

7 • Jifunze mbinu za pesa kukutumikia. Si wewe kutumikia pesa.

8 • Nionyeshe mtu masikini anaye manage pesa zake na mimi nitakuonyesha samaki anayeishi ardhini.

9 • Pesa inapatikana kwa kutoa value. So does the wealth.

10 • Pesa haiongei. Ila inawavuta watu waiongelee.

11 • Pesa ni muhimu lakini pesa si kila kitu.
 
Poor people work for money while rich people have money work for them. Rich people have both OPT(Other people time ) and OPI(Other people Income)
 
Umasikini na utajiri zote hali, angalia amani ya moyo na furaha

Siwezi pata amani moyoni bila kuwa financially Independent.

Kama watu wanaona kuwa masikini ni sawa kwao na wewe hivyo.

Kwangu mimi hapana aisee. Umasikini unadhalilisha.

Ni aina fulani ya curse [emoji1430]
 
Ata manage nini wakati hata hiyo pesa hana?[emoji848] it hard to.manage nothing

Nimeandika katika mtindo wa satire.

Ndiyo maana nimemalizia na kusema “nitakuonyesha samaki anayeishi ardhini”

Yes I.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…