Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Elimu haijakusaidia badoNyie,
Mtibwa wanatoa kafara wabaki ligi kuu au?
Eeh jicho la 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu haijakusaidia badoNyie,
Mtibwa wanatoa kafara wabaki ligi kuu au?
Eeh jicho la 3.
Very sad...😢Inasikitisha sanaa
Ajali zote always something went wrongNo mkuu, it must be something went wrong
Yaan unaenda kazini unareport unakua na matumain ya kurud nyumbani kuona familia lakini ndio ivyo unarudishwa maiti😭Very sad...😢
Una hakika nina elimu?Elimu haijakusaidia bado
Kutoka nyumbani asubuhi na ukarudi jioni ukiwa mzima is such a big blessing watu wengi tunaichukulia poa.Yaan unaenda kazini unareport unakua na matumain ya kurud nyumbani kuona familia lakini ndio ivyo unarudishwa maiti😭
Kabisa ndani ya siku 7 isipite mwaka wana familia wawe wameshajaza fomu za fidia za WCF ,uzuri huu mfuko unatoa mafao vizuri,labda huko mbeleni uje uchakachuliwe kama NHIFWCF waione kwenye faili.
Joto la mvuke huweza kufikia nyuzi joto 400. Ikitokea moja ya mipira kupasuka hakuna wa kupona. Mtibwa wamejenga boiler mpya ili kuongeza uzalishaji wa umeme kukidhi mahitaji yao. Hivyo walikuwa katika testing and commissioning. Uwezekano mkubwa bomba haikuwa katika kiwango bora au security system ya boiler haikuwa ikifanya kazi vemaKwenye viwanda vya sukari, boilers zinawekwa ili kuzalisha umeme kwa kutumia mvuke unaotokana na kuunguza mabaki ya miwa na majani. Mvuke huo wenye pressure unazungusha turbine ambayo nayo huzungusha mitambo ya kuzalisha umeme.
Maintenance ya boilers na pipes zake ambazo zinabeba pressure kubwa sana ili kuweza kusukuma turbines, lazima uzingatie weledi, ujari muda na taratibu za kufanyia maintenance hizo.
Tunajua nini kuhusu maintenance schedules za mitambo hiyo? Mtibwa kulikuwa kuzuri sana enzi zake. Kiwanda kilisaidia jamii iliyokuwa imewazunguka kwa kuwapa fursa ya kulima na kuuza miwa kiwandani. Wale wakulima wa miwa walikuwa vibopa, wazee wa madizini. Hivi bado wanalima na kuwauzia kiwanda miwa yao?
Pengine Prof mwingine atatoa lecture ya kitaalamu kuhusu mengi yaliyopo kwenye jamii yetu kama Prof Mkandara, ili tujifunze na kuanza kurekebisha kasoro za hapa na pale.
Kuna elimu nyingine inapatikana kwa gharama kubwa sana. Tufikiri, tuamue na kusonga mbele, bila kuhukumiana na kubebeshana lawama
Joto la mvuke huweza kufikia nyuzi joto 400. Ikitokea moja ya mipira kupasuka hakuna wa kupona. Mtibwa wamejenga boiler mpya ili kuongeza uzalishaji wa umeme kukidhi mahitaji yao. Hivyo walikuwa katika testing and commissioning. Uwezekano mkubwa bomba haikuwa katika kiwango bora au security system ya boiler haikuwa ikifanya kazi vema
Walala pema peponiWatu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro.
Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23, 2024 Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Shaban Marugujo amesema mlipuko huo ulitokea saa 7 usiku na umeua 11 na wengine wawili kujeruhiwa.
"Ni kweli watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mlipuko wa mpira wa joto wakati wanajiandaa na uzalishaji wa sukari pale kiwandani, ifahamike kwamba ili sukari ichakatwe kuna kiwango cha joto ambacho kinatakiwa kifikie sasa wakati maandalizi ya uzalishaji yakifanyika na kile kiwango cha joto kikingojewa ndipo ukatokea mlipuko huo na kuwakuta watu hao 11 ambao kwa kiwango kile cha joto wakafariki papo hapo,"
"Chanzo halisi cha mlipuko huo bado hatujakipata ila bado tunaendelea na uchunguzi, timu nzima iko hapa kiwandani tangu usiku huo na mpaka sasa tunaendelea na tukikamilisha tutatoa taarifa rasmi" amesema Marugujo.
CHANZO: MWANANCHI
Ni zaidi ya blessings 🙏🙏Kutoka nyumbani asubuhi na ukarudi jioni ukiwa mzima is such a big blessing watu wengi tunaichukulia poa.
Wanasemaga Bora kifo Cha maji kuliko Moto..Mkuu kawaida tu ndo walivyopangiwa watakufa hivyo Pindi tu walipozaliwa.
Angechoma kiwanda choteMi naona siyo kafara labda ni hujuma kutoka kwajanabi kupunguza utumiaji wa sukari. Yani ugaidi wa kistaarab kwa manufaa ya afya ya halaiki.