11 Wafariki dunia baada ya mtambo wa kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka

Joto la mvuke huweza kufikia nyuzi joto 400. Ikitokea moja ya mipira kupasuka hakuna wa kupona. Mtibwa wamejenga boiler mpya ili kuongeza uzalishaji wa umeme kukidhi mahitaji yao. Hivyo walikuwa katika testing and commissioning. Uwezekano mkubwa bomba haikuwa katika kiwango bora au security system ya boiler haikuwa ikifanya kazi vema
 

Now I understand...kumbe ni mpya ilikuwa inakabidhiwa.
 
Walala pema peponi

Wasawahili hatuko makini na hatukipi umuhimu kitengo Cha HSE

Wenzetu wazungu hiki kitengo ni muhimu kuliko Hata TRA

Kuna vitengo Unaweza pelekwa kozi wiki 6 ili tu ujifunze usalama kazini kabla ya kupewa kazi

Watu wa migodi na viwanda watanielewa
 
na mashaka na wale wageni 3 inaonyesha sio wataalamu wa kufunga hiyo mitambo na ndio waka sababisha.

Nchi hii ukisikia mkoa wako kunawekwa kiwanda cha kufua umeme wa uranium na kushauri toka uo mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…