Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 Jun 16, 2023 #1 Watu 11 wakiwemo wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kusafirisha nyara za serikali na kutakatisha kiasi cha shilingi bilioni 3.2.
Watu 11 wakiwemo wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kusafirisha nyara za serikali na kutakatisha kiasi cha shilingi bilioni 3.2.
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jun 16, 2023 #2 Mafisadi wanapiga zaidi ya hizo na hakuna hatua
moyo wenye aman i Senior Member Joined Nov 12, 2019 Posts 177 Reaction score 297 Jun 16, 2023 #3 bora hawa kuliko...
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,929 Reaction score 8,327 Jun 16, 2023 #4 Ajali kazini. Wangefanikisha ingekuwa sherehe