Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Jumla ya wanafunzi 114 kutoka kozi moja tu ya mass communcations hawatograduate kutokana na suplimentary,kushndwa kumaliza/defend research,na kufeli kwny comprehensive. Idadi kwa kozi nyingne itatolewa badae. Majina yapo notice boards.gd ni tar30/11.
mkuu nimewasikitikia kweli hao wanafunzi! Ina maana wote ni wa miaka ya mwisho! Si ndiyo?
So what is the solution to the problem?
me too