114 wakamatwa saut mwanza

114 wakamatwa saut mwanza

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Jumla ya wanafunzi 114 kutoka kozi moja tu ya mass communcations hawatograduate kutokana na suplimentary,kushndwa kumaliza/defend research,na kufeli kwny comprehensive. Idadi kwa kozi nyingne itatolewa badae. Majina yapo notice boards.gd ni tar30/11.
 
mkuu nimewasikitikia kweli hao wanafunzi! ina maana wote ni wa miaka ya mwisho! si ndiyo?
so what is the solution to the problem?
Jumla ya wanafunzi 114 kutoka kozi moja tu ya mass communcations hawatograduate kutokana na suplimentary,kushndwa kumaliza/defend research,na kufeli kwny comprehensive. Idadi kwa kozi nyingne itatolewa badae. Majina yapo notice boards.gd ni tar30/11.
 
mkuu nimewasikitikia kweli hao wanafunzi! Ina maana wote ni wa miaka ya mwisho! Si ndiyo?
So what is the solution to the problem?

hadi mwakani kwan matokeo ya supp yametoka so hao wamecarry.future imeharbka
 
"... ukiona mwenzio ananyolewa kwa kipande cha chupa, wewe tia nywele maji..." Nadhani wale ambao bado wako Chuo wajifunze kutokana na makosa ya wenzao, warekebishe, hali wakati bado muda unaruhusu, wakwepe hiyo dhahama!

Hali hiyo ni noma, hapo nadhani ili kurekebisha na kuficha "historia" inamlazimu mtu apige PgD ya fasta, fasta! Anyway, Hongera watakaovaa majoho tarehe 30/10
 
samahani mkuu naomba kuuliza,kuna mdogo wangu kamaliza la saba mwaka huu,akipata supplimentary nae atakamatwa?
 
Back
Top Bottom