12 architects Changed the World


Agree 100%,ila kwa Tanzania Njaa tunaiendekeza sana!na zaidi cost zetu sio kwamba ziko chini kivile,ukilinganisha na wenzetu,nadhani unakumbuka kashfa ya EPA,walivyojenga jengo la less than 10,000sqm kwa gharama mara 3 zaidi ya same building costs new york.
 
mkuu Kimweri
this is one of our landmark in dsm.

kwa jinsi jengo lilivyo naked,wakaona aibu kuweka cladding japo kwa mbele ya hizo glasses za uongo na kweli,its as if they run out of budget.disgusting.,
Landmarks zetu hazina tofauti na Jela za wenzetu





hayo majengo hapo juu ni jela za marekani...,
 
Kuna chuo kimoja cha LAPF kiko kule Hombolo Dodoma wale jamaa walio design nawakubali sana. Kuna bonge la project pale limemwagwa na ma architect wake wanaitwa Epitome by the time wanadesign walikua wanatumia jina la Landplan-Icon Architects Limited ndo walio design jengo jipya la Waterfront zamani NASACO na majengo kadhaa hapa DAR na mikoani.
 
The biggest challenge ya watanzania ni kwamba wengi wetu hatuko creative. We just do things for money bila kujali how our work reflect on us. Ukiangalia hapa bongo maghorofa mengi ni mabox box tuu..yaani you dont see any creativeness! Its really sad. Ningewashauri vijana wanaosma hizi fani..you have to go over and above your lectures in classes. Seriously hapa bongo sijaona kazi ya archtect ambayo iko impressive..ukaona kwamba mtu alikaa chini akatumia zaidi ya ule uwezo wa darasani kukariri. I doubt hapa kwetu kama watu wanaangalia/consider vitu kama nature, climate among others..when they are designing!

Mfano angalia lile soko la Msimbazi..kila nikipita pale I wonder..who designed that THING...maana hata garage ya mchina ni nzuri!

Guys creativeness haihitaji pesa! Do your job! Akina masanja wakipata vijisenti vyao watakuja tuu.
 
creativity kidogo imeonekana kwenye bunge letu japo architect ni mkenya.
hapo red unamaanisha soko lipi mkuu? machinga complex au?
 
duh! yaani jela za wenzetu ni nzuri kuliko maboksi yetu ya maofisi Bongo, loh!
ila wadau creativity bongo itaonekana kadri architects wengi wanavyo ongezeka kwenye soko.
 
duh! yaani jela za wenzetu ni nzuri kuliko maboksi yetu ya maofisi Bongo, loh!
ila wadau creativity bongo itaonekana kadri architects wengi wanavyo ongezeka kwenye soko.

Mkuu...waongezeke wapi wakati ndo 60% ya vijana wetu wana zero form four? Yaani hapa wengi wetu tunacheka lakini kiukweli..impact ya haya mambo itakuja kuonekana in five years. Wewe jiulize..leo tunaambiwa Tanzania hatuna workforce...vijana hawajui kujieleza..not creative na wengi elimu za manati.....na hiki ndo kizazi cha miaka 10-20 iliyopita ambapo taifa lilikuwa na ahueni..sasa jiulize..na hii globalization na huu mwelekeo wa regional integration..what will happen? Its simply tragic! Tutafika sehemu tunapinga intergration na wakenya..na wengineo..simply because tunaogopa kwamba tutakuwa mediocre! Of which most of us are already.

Majuzi I met an African diplomat akawa anashangaa sana Tanzania..akasema zamani kila diplomat huko ughaibuni kabla hajaongea lazima kwanza atafiti msimamo wa Tanzania..na hata akipokea maelekezo kutoka nyumbani lazima wamwambie kabisa....ahakikishe msimamo wa Tanzania unapewa kipaumbele....leo anasema..you guys are simply jokers! You have become another banana republic...Yet he agrees...Nyerere`s shoes were too big to be filled by any Tanzanian...niliumia lakini ndo hivyo..ngoja tuzidi kupambana. Na Kibaya zaidi TANZANIA tunafanya ujinga waliofanya wenzetu miaka hiyo..wakaona hauna tija (at a very high cost though)...leo sisi ndo tunarudi huko!

Yes I meant Machinga Complex mkuu.
 
View attachment 84679


Mchoro wa wataalam wa kwetu Dodoma. Mtu unalala bila hata stress za kulipa umeme na maji, hapa unawaza kuingiliwa na nyoka tu na buibui basi.
mkuu kwa taarifa yako aliyegundua hiyo kitu ana akili kinoma, inaendana na hali ya hewa ya huko, mchana joto kali sana na usiku baridi kali sana,
kuna kitu kinaitwa TIME LAG nilisoma kwenye course moja ya Environment, kwamba hizo nyumba zinahifadhi hali ya joto usiku wakti kuna baridi kali na mchana ubaridi wakati kuna joto kali.
 


Ni kweli, binafsi napenda sana kwenda vijijini na kujiunga na wenzangu kwani huko ndiko naona kuna maisha mazuri na raha zaidi.
 

Agreed!
 
pale mbeya nasikia jengo la mahakama kuu na nbc makao makuu vilibuniwa na mbongo. mwenye info atuambie ni nani maana huwa yananistaajabisha.
 
wahandisi wanafunzi hebu tupitie ka uzi haka tunapewa changamoto na wakubwa zetu hapa. kweli sisi bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…