12 Books Every Entrepreneur Should Read

12 Books Every Entrepreneur Should Read

Check na Bakhresa kama amesoma chochote kati ya hivyo alafu uni tag
Yawezekana hasomi ila waoendesha Bakhresa Group kwa vyovyote wanasoma. Angekuwa anakomaa mwenywe mpaka leo angekuwa na mgahawa tu.

Refer: BOARDOF DIRECTOTS !!
 

Attachments

  • BB.png
    BB.png
    24.1 KB · Views: 35
Ongeza na hivi
Timiza Malengo yako
Ongeza kipato
Tabia 12 zinazoleta mafanikio
Ishinde tabia ya kughairisha mambo
Ishi ndoto

Vyote vya Joel Nanauka
 
Kuna siku nilimuona bibi mmoja mjasiriamali kwenye short course yao walikua wanajifunza SWOT Analysis. Tangu hapo nikatambua tunachosoma shule hasa kwenye biashara na management viko applicable ni kujiongeza wenyewe tu. Mtu kama bakhresa hajasoma lakini nyuma yake kuna wasomi.
Tupende kusoma
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana. Siku za nyuma nilikosa amani kwanini siwezi kuogelea kwani ninapenda travelling, hotel and beach tourism.Nikaanza kuangalia video nyingi sana za youtube za how to swim.

Siku ya kwanza nikaenda baharini kwenye maji yasiyovuka mabega with confidence, basi nilikunywa kata za kutosha za maji ya chumvi.

Nikagundua ili kujifunza kuogelea baada ya kupata theory inatakiwa nifanye mazoezi, basi nilifanya mazoezi ya kuogelea mpaka sasa nimetimiza ndoto za kujua kuogelea angalau 70 meter swiming distance and even more than 80 minutes floating wakati nilikuwa nanga.
Wright approch comes after experience and experience comes after practise , the same applies for business
Hata usome vitabu 5000 kama huchukui hatua ni bure tu,ni sawa na usome vitabu hata 15 kuhusu namna ya kujifunza kuogelea usipoingia kwny maji uka-practise hizo theories ni kazi bure.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavyosema "theory" unamaanisha nini? Kwa mfano mtu anaandika kitabu kinahusu namna alivyoanzisha kampuni yake (mf ipo mingi tu namna Coca-Cola ilivyoanzishwa, Facebook n.k) kitabu kinaandikwa ili wewe ujifunze mawili matatu unayoweza kutumia kwenye biashara yako / maisha yako sasa wewe unasema theory, theory kivipi wakati mtu ameishi maisha halisi kisha ndo akaamua kuyaweka kwenye maandishi?, huu UJINGA unaouonyesha hapa ni wa kiwango cha standard gauge!

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief negativity people huwa hawakosekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea millinaires fast lane muandishi nimemsahau bt bonge moja la kitabu

bila kusahau the first billion is the hardest
 
Mkuu umetoa uzi mzuri ila ingependeza kama ungeweka na soft copy ya hivyo vitabu ili nasi tuweze kuvipata maana hatuna namna nyingine ya kuvipata
Entrepreneurship is not easy and knowledge can be a decisive factor whether you fail or succeed.

Find below a list of books which would provide immense value for all existing and aspiring entrepreneurs.

1. The 4-Hour Workweek by Timothy Ferriss

2. The Fire Starter Sessions by Danielle La Porte

3. The $100 Startup by Chris Guillebeau

4. Never Get a Real Job by Scott Gerber

5. Cashflow Quadrant: Rich Dad’s Guide to Financial Freedom by Robert Kiyosaki

6. Built to Last: Successful Habits of Visionary Companies by Jim Collins

7. Lean Startup: How Today’s Entrepreneurs Use Continuous Innovation to Create Radically Successful Businesses by Eric Ries

8. Like a Virgin: Secrets They Won’t Teach You at Business School by Richard Branson

9. Screw Business as Usual by Richard Branson

10. Smarter, Faster, Cheaper by David Siteman Garland


Read More: Best Entrepreneur Books Of All Time : 12 Books Every Entrepreneur Should Read
 
Back
Top Bottom