12 Books Every Entrepreneur Should Read

Ongeza na hivi
Timiza Malengo yako
Ongeza kipato
Tabia 12 zinazoleta mafanikio
Ishinde tabia ya kughairisha mambo
Ishi ndoto

Vyote vya Joel Nanauka
 
Kuna siku nilimuona bibi mmoja mjasiriamali kwenye short course yao walikua wanajifunza SWOT Analysis. Tangu hapo nikatambua tunachosoma shule hasa kwenye biashara na management viko applicable ni kujiongeza wenyewe tu. Mtu kama bakhresa hajasoma lakini nyuma yake kuna wasomi.
Tupende kusoma
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana. Siku za nyuma nilikosa amani kwanini siwezi kuogelea kwani ninapenda travelling, hotel and beach tourism.Nikaanza kuangalia video nyingi sana za youtube za how to swim.

Siku ya kwanza nikaenda baharini kwenye maji yasiyovuka mabega with confidence, basi nilikunywa kata za kutosha za maji ya chumvi.

Nikagundua ili kujifunza kuogelea baada ya kupata theory inatakiwa nifanye mazoezi, basi nilifanya mazoezi ya kuogelea mpaka sasa nimetimiza ndoto za kujua kuogelea angalau 70 meter swiming distance and even more than 80 minutes floating wakati nilikuwa nanga.
Wright approch comes after experience and experience comes after practise , the same applies for business
Hata usome vitabu 5000 kama huchukui hatua ni bure tu,ni sawa na usome vitabu hata 15 kuhusu namna ya kujifunza kuogelea usipoingia kwny maji uka-practise hizo theories ni kazi bure.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief negativity people huwa hawakosekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea millinaires fast lane muandishi nimemsahau bt bonge moja la kitabu

bila kusahau the first billion is the hardest
 
Mkuu umetoa uzi mzuri ila ingependeza kama ungeweka na soft copy ya hivyo vitabu ili nasi tuweze kuvipata maana hatuna namna nyingine ya kuvipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…