Unajidanganya. Jaribu kusoma kimojawapo uone ujinga unaokumbatia kuhusiana na eneo fulani.
Hakika. Na ndiyo maana ya kusoma ili kubadili mwenendo kwa kuongeza kile ulichokosa awali.Hata usome vitabu 5000 kama huchukui hatua ni bure tu,ni sawa na usome vitabu hata 15 kuhusu namna ya kujifunza kuogelea usipoingia kwny maji uka-practise hizo theories ni kazi bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Millionaire fast lane ni shidaKuna hivi vikali vya kuongezea.
1. The millionaire fastlane
2. Why "A" student's works for "C" student's.
Ukivisoma hivi hutajuta kuvisoma.
MJ DeMarco, kuna Udisputed na The Geat Escape pia.Ongezea millinaires fast lane muandishi nimemsahau bt bonge moja la kitabu
bila kusahau the first billion is the hardest