Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karma is real, watu wangejua mbona dunia ingekuwa a better place!
How,??
.made in mby city.
Use your head, bearing in mind the meaning of karma.
usinchoshe. Are you expecting to be spoonfedBasi??
Hivyo tu, ndo umemaliza??
Hebu mpe mtu yeyote karibu yako(your device) asome ulicho andika, after then mwambie a-comment chochote kuhusu mwandishi
After then leta mrejesho hapa
.made in mby city.
usinchoshe. Are you expecting to be spoonfed
Endless life????
Few billions years to come our beautiful sun will expand x250 of it"s origional size, whereby jua letu litameza kila kitu kitu kilichokaribu, sayari(including our planet earth) and finally our son will die
Where is endless life??
Maybe tell me utazaliwa alien far away from our solar system but not in here
Anaway inafikirisha hii kitu
.made in mby city.
Few billions to come...!!! That's endless brother
Mkuu naomba tuende taratibu kidogo
Tuchukue mfano sisi binadam tunaweza ku-communicate na mdudu mdogo kama nzi na kuelewana bila shida
Kama tunavyojua prediction za science haziwezi kuwa 100%, kutokana na uchunguzi fulani wa kisayansi baada 5centuries mazingira hayatakuwa favourable kwa mdudu kama nzi ku-survive duniani, so watatoweka kama ilivyokua kwa dinasaurs
Tutakapoenda mbele ya nzi na kuwaambia habari hizi kiukweli hawata hamaki sana kwani kwao huu muda siyo wa kitoto, ni bonge la kitambo
Hapo je kwa wale nzi hiyo ni endless life??
Tuanzie hapo alafu tuendelee taratibu
.made in mby city.
Nakubaliana nawewe lakini tunapoongelea evolution au realm of life au reincarnation tunadili na roho(energy/soul) kwahiyo outer form yaweza kubadilika vyovyote vile au kuwa modified lakini kile kilichopo ndani yake kinacholeta uhai hakibadiliki
Mkuu tatizo ni kwamba sijawahi ona concrete evidence ya hii kitu, ndio maana hatuendi pamoja na idea ya endless life
Tunajua kila kitu kitakufa katika universe(including stars) sasa hizo roho zitaenda wapi??
Mkuu sijui kama unanielewa vizuri
.made in mby city.
Karucee mbona watu wanahubiriwa kwa uwazi kabisa kuhusu pepo na jehanam lakini bado wanatenda dhambi? Matendo mabaya ndio asili ya binadamu
Hapo ndio tunapoachana kuwa KILA KITU KINAKUFA katika dunia mimi nasema hakuna kufa bali kuna transformation
Mfana rahisi sana unamnunulia wife kanga mpya, hii sio mpya bali nyuzi za pamba rangi na maandishi vimekuwa transformed kutengeneza kanga, Nayo hiyo hiyo from day one ya kuanza kutumika haitabaki vilevile itabadilika na kubadilika hadi kuchakaa.
Ikishachakaa matumizi yatabadilika itachanwa iwe dekio nk au kamba nk ,navyo hivyo vitabadilika mpaka vitatupwa, vikitupwa vitaoza na kugeuka mbolea ambayo unapandia mimea na kadhalika, ule mmea utastawi kwasababu ya mbolea ya khanga, huu ni mfano mdogo tu
Kwahiyo hata nagari fanicha nk, siku gari inatoka kiwandani ndio safari ya kuwa chuma chakavu inaanza, vivyohivyo kwa vitu vingine vyote vinakuwa transformed kutoka umbo moja hadi jingine kulingana na wakati matumizi na mahitaji na hapo ndipo inapokuja dhana ya endless realm
Mkui nafurahi kuona mfano wako mdogo/mzuri/unaeleweka. Tatizo la mfano wako lime-base kwenye vitu(matter if i'm not mistaken), lakini roho/soul is another subject.
Mkuu ninapozungumzia kufa hapa ninamaanisha baada ya miaka billion nyingi sana kama si trillions za miaka dunia na ulimwengu kwa ujumla vitarudi katika hali ileile ya awali(not sure if it's before bigbang).
Sasa hapa ndipo litakapo kuja lile swali la roho/soul will be transformed to what ?
.made in mby city.
Still unagusa palepale kwenye transformation, reincarnation na realm of life, nimetoa vitu kama mfano tu lakini hata mtu anapohama kutoka maisha haya(kufa?)sio mwisho bali ni mwanzo kumbuka death is not a process but a state...!!!