12th Africa Games, Morocco 2019: #TeamKenya Official Thread.

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
https://citizentv.co.ke/sports/kenya-to-send-290-athletes-to-african-games-267738/ Mchuano wa 12th Africa games utaanza mwezi huu wa Agosti, 16-31, kule Morocco kwenye miji ya Rabat, Casablanca, El Jadida na Khemisset. Wanamichezo zaidi ya 170, kati ya 290, ambao wataiwakilisha Kenya kwenye michezo 22 tayari waliwasili Kasarani kwa mazoezi mapema wiki hii. Kwenye 11th Africa Games ambazo zilikuwa kule Congo, Brazzavile Kenya ilifanikisha medali 32, Gold 6 Silver 9 Bronze 17. Kabla ya hapo 2010 kule Maputo, Mozambique Kenya ilikuwa na 'performance' nzuri zaidi. Ambapo wanamichezo wa Kenya walijishindia medali 50 kwa ujumla. Majirani mpo??? Nina matumaini kwamba mtatanua misuli kama wababe wa michezo ukanda huu, kwa kuwakilishwa na wanamichezo wengi zaidi. All the best to #TeamKenya!!! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
 
Na hii yote ni kutumia pesa zetu za ndani kuiletea Kenya sifa bara Africa yote unlike our Tz brothers spending so much on new cars for a mere SADC summit of 12 countries.
Hutawaona kwenye uzi huu, mchezo wanaoufahamu vizuri ni ule ambao wanachezewa na chama chao tukufu. Kwenye michezo hawa jirani zetu ni ovyo kupindukia.
 
Hongera sana kuwaona vijana wetu wakifuzu kwa wingi kuwakiwakilisha nchi, dah ila majirani hushangaza sana, yaani wanakwenda 6 ilhali Kenya inatuma 290, kwa kweli haitaokea siku tuwe kwenye ligi moja na hawa.
 
Kweli kabisa, wakenya wamefuzu kwa wingi tena kwenye michezo ya aina yote. Kenya itakuwa na wawakilishi kwenye michezo kama riadha, archery, badminton, basketball 3-on-3, boxing, canoe kayak, rowing, chess, cycling, handball, judo, karate, shooting, swimming, table tennis, tennis, triathlon, indoor volleyball, beach volleyball, weightlifting na wrestling.
 
Hongera sana kuwaona vijana wetu wakifuzu kwa wingi kuwakiwakilisha nchi, dah ila majirani hushangaza sana, yaani wanakwenda 6 ilhali Kenya inatuma 290, kwa kweli haitaokea siku tuwe kwenye ligi moja na hawa.
Ndio sisi hatukimbizi upepo sababu ya njaa tunafanya michezo starehe sio michezo njaa kama huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…