pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
https://citizentv.co.ke/sports/kenya-to-send-290-athletes-to-african-games-267738/
Mchuano wa 12th Africa games utaanza mwezi huu wa Agosti, 16-31, kule Morocco kwenye miji ya Rabat, Casablanca, El Jadida na Khemisset. Wanamichezo zaidi ya 170, kati ya 290, ambao wataiwakilisha Kenya kwenye michezo 22 tayari waliwasili Kasarani kwa mazoezi mapema wiki hii. Kwenye 11th Africa Games ambazo zilikuwa kule Congo, Brazzavile Kenya ilifanikisha medali 32, Gold 6 Silver 9 Bronze 17. Kabla ya hapo 2010 kule Maputo, Mozambique Kenya ilikuwa na 'performance' nzuri zaidi. Ambapo wanamichezo wa Kenya walijishindia medali 50 kwa ujumla. Majirani mpo??? Nina matumaini kwamba mtatanua misuli kama wababe wa michezo ukanda huu, kwa kuwakilishwa na wanamichezo wengi zaidi. All the best to #TeamKenya!!! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]