13 february 2010

13 february 2010

post_new.gif
Today, 12:15 PM Lily Flower This message has been deleted by Lily Flower.

Dah! Sijui kwanini walahi?
 
thanks pal!
Pamoja sana
nashukuru kwa kuwa responsible
sio kitu rahisi kwa binadamu wa kawaida kuwa responsible kwa level hii.

Ahsanteni sana wakuu!
Sioni jema hata moja nilowafanyia lakini you people are there for me forever and for always

and forever we will be
 
natarajia kuwaandalia mchemsho wa kuku wa kienyeji tukiwa pale nyumbani makambako ili watu wangu mfurahi.....!
 
NAWASHUKURUNI sana nyamayao na familia yake.wamenipa courage ya kutosha kabisa
 
special thanks to georgieporgie,
the buddy IS THERE FOR ME BUTU NA MOI!....
 
Back
Top Bottom