13 february 2010

thanks pal!
Pamoja sana
nashukuru kwa kuwa responsible
sio kitu rahisi kwa binadamu wa kawaida kuwa responsible kwa level hii.

Ahsanteni sana wakuu!
Sioni jema hata moja nilowafanyia lakini you people are there for me forever and for always

and forever we will be
 
hii post inaenda fasta kama treni ya umeme
sio POST sema SREDI (thread)!
tuko pamoja, njoo wewe na yule tuikimbize hadi na baada ya 13 FEBRUARY 2010
 
natarajia kuwaandalia mchemsho wa kuku wa kienyeji tukiwa pale nyumbani makambako ili watu wangu mfurahi.....!
 
NAWASHUKURUNI sana nyamayao na familia yake.wamenipa courage ya kutosha kabisa
 
special thanks to georgieporgie,
the buddy IS THERE FOR ME BUTU NA MOI!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…