hahahahahaaaaaaaaaaaaa,Na ile kitu yetu nimeshaibadilisha! Sasa hivi ulanzi unakamata nafasi ya vitochiz!
Sorry to you beer and kitimoto! On 13/02 I will be busy with Ulanzi and wow!wow!wow!
mkuu wangu rector wetu(me,gkundi na fidel80) anaitwa GOLLETO.huu ni mtambo wa fizikiaHivi rector wako alikuwa anaitwa nani vile?
shukrani mkuu!Geoff nasikia kuna kijiwe pale kipyaaaaa kimefunguliwa MK kinaitwa Mama Mkubwa hebu fuatilia location tunataka wapwazi tukaweke kambi hapo maana nimeona kwa Mithupu kama kina madhari nzuri sana.
Dah! Na fidel nae mseminaristi? Ishia hapohapo kabla seminari haijafungiwa!mkuu wangu rector wetu(me,gkundi na fidel80) anaitwa GOLLETO.huu ni mtambo wa fizikia
ndio ndio mkuu!Dah! Na fidel nae mseminaristi? Ishia hapohapo kabla seminari haijafungiwa!
Dah! Na fidel nae mseminaristi? Ishia hapohapo kabla seminari haijafungiwa!
Hahahaha najua wengi hawata amini lakini ukweli ndo huo watu tumekula sana sakramenti na divai
ndugu yangu NEXT LEVEL ni mseminari mkuu wangu!....Dah! Na fidel nae mseminaristi? Ishia hapohapo kabla seminari haijafungiwa!
lakini mkuu Fidel kakaa kiseminariseminari hata ongea yake ni ya kiutaratibu sana, sema SAFARI LAGER ndio zinamponza huwezi jua kama mseminari!!
ndugu yangu NEXT LEVEL ni mseminari mkuu wangu!....
humu ndani tuna mapadre wengi sana
hata wewe ni mseminari mkuu,umesahau?Dah! Sikujua! Ngoja nikakamate msosi na kachupa kamoja ka valeur! Kichwa kimepata mshtuko!
Hahaha! Hivi sasa ukiila tena utatapika!
Unajua kichwa changu kimepoteza netiweki, ndo mana nataka nikiamshe kwa valeur kirudi kwenye mstari!hata wewe ni mseminari mkuu,umesahau?
ki-msingi nimefikira sana kutafuta uwezekano wa ndoa yangu kufungwa na father golleto.
ikikubalika NITAFURAHI SANA!hii ni INJINI ya fizikia mkuu!
Hahaha! Hivi sasa ukiila tena utatapika!
NASHUKURU SANA HOMEBOY,
maboksi ni sehemu tu ya maisha
nakushauri sana utunze fedha vizuri,na ukirudi bongo jaribu kuwekeza
kama utakosa uzoefu tuone sisi tufanye kazi na wewe.biashara tuna aidia nazo tunakwama mitaji tu