13 february 2010

13 february 2010

Geoff nasikia kuna kijiwe pale kipyaaaaa kimefunguliwa MK kinaitwa Mama Mkubwa hebu fuatilia location tunataka wapwazi tukaweke kambi hapo maana nimeona kwa Mithupu kama kina madhari nzuri sana.
 
Na ile kitu yetu nimeshaibadilisha! Sasa hivi ulanzi unakamata nafasi ya vitochiz!
Sorry to you beer and kitimoto! On 13/02 I will be busy with Ulanzi and wow!wow!wow!
hahahahahaaaaaaaaaaaaa,
mpwazzzzz umeniacha sina mbavu!!.
GEOFF,
hakikisha unatoa tahadhari mapema sio watu wakimbilie kula BBQ ovyo ovyo!!, nadhani nimeeleweka hapo, makambako kule sio zero pub wala chawote, kuna wow, wow, wow, wow, wowww!!😀😀
 
Geoff nasikia kuna kijiwe pale kipyaaaaa kimefunguliwa MK kinaitwa Mama Mkubwa hebu fuatilia location tunataka wapwazi tukaweke kambi hapo maana nimeona kwa Mithupu kama kina madhari nzuri sana.
shukrani mkuu!
ngoja niwapigie simu watu wangu wa home...!
uzuri ni kwamba nitatangulia home ili kuwawekea wapwaaz mazingira mazuri
 
mkuu wangu rector wetu(me,gkundi na fidel80) anaitwa GOLLETO.huu ni mtambo wa fizikia
Dah! Na fidel nae mseminaristi? Ishia hapohapo kabla seminari haijafungiwa!
 
Dah! Na fidel nae mseminaristi? Ishia hapohapo kabla seminari haijafungiwa!
ndio ndio mkuu!
huyu kijana tulikuwa nae beki-benja pale class
mtoto wa father KAMILO huyu.....
waseminari sisi mkuu
 
Dah! Na fidel nae mseminaristi? Ishia hapohapo kabla seminari haijafungiwa!
lakini mkuu Fidel kakaa kiseminariseminari hata ongea yake ni ya kiutaratibu sana, sema SAFARI LAGER ndio zinamponza huwezi jua kama mseminari!!
 
ki-msingi nimefikira sana kutafuta uwezekano wa ndoa yangu kufungwa na father golleto.

ikikubalika NITAFURAHI SANA!hii ni INJINI ya fizikia mkuu!
 
ndugu yangu NEXT LEVEL ni mseminari mkuu wangu!....
humu ndani tuna mapadre wengi sana

Dah! Sikujua! Ngoja nikakamate msosi na kachupa kamoja ka valeur! Kichwa kimepata mshtuko!
 
ki-msingi nimefikira sana kutafuta uwezekano wa ndoa yangu kufungwa na father golleto.

ikikubalika NITAFURAHI SANA!hii ni INJINI ya fizikia mkuu!

jaribu jaribu funga na kuomba ili Father Gollete ainjinie hii issue muhimu
{hata simjui}
 
NASHUKURU SANA HOMEBOY,
maboksi ni sehemu tu ya maisha
nakushauri sana utunze fedha vizuri,na ukirudi bongo jaribu kuwekeza
kama utakosa uzoefu tuone sisi tufanye kazi na wewe.biashara tuna aidia nazo tunakwama mitaji tu

Ngoja tupambane homu boi.......kitaeleweka tu in a very near future.....!

BWT: Aisee nimekusoma sehemu...umetaja Ulanzi......bana bana please let us dumisha mila....isikose hiyo kitu...ha!ha!ha!
 
Back
Top Bottom