hahahaaa, mkuu pale MAVURUNZA unapita kama kituo cha polisi nini????
Hehehehe alafu iwa silioni kabisa sijui mauza uza?
hehehe!Unajua kichwa changu kimepoteza netiweki, ndo mana nataka nikiamshe kwa valeur kirudi kwenye mstari!
__________________
Sorry to you beer and kitimoto! On 13/02 I will be busy with Ulanzi and wow!wow!wow!
SIGNATURE NOTED XPIN
hahahahahaaaaaaaaaaaaa,
mpwazzzzz umeniacha sina mbavu!!.
GEOFF,
hakikisha unatoa tahadhari mapema sio watu wakimbilie kula BBQ ovyo ovyo!!, nadhani nimeeleweka hapo, makambako kule sio zero pub wala chawote, kuna wow, wow, wow, wow, wowww!!😀😀
mkuu wangu rector wetu(me,gkundi na fidel80) anaitwa GOLLETO.huu ni mtambo wa fizikia
ndugu yangu NEXT LEVEL ni mseminari mkuu wangu!....
humu ndani tuna mapadre wengi sana
jaribu jaribu funga na kuomba ili Father Gollete ainjinie hii issue muhimu
{hata simjui}
jamani kama kuna mtu hajakamata SENKSI yangu naomba anipiemu!nimejitahidi kumpiga na SENKSI kila muungwana hapa.natamani niwapige senksi hawa maguest lakini nashindwa.MODS MSAADA KWENYE TUTA PLEASE..........
........yaah!I LIKE THIS IDEA!halafu sikuwahi kuifikiriaahahahah hata maguuest pia??? eh kweli uko mkarimu sana...kwanza mods waweke vibatani vya hug ,kiss na blush etc....kuna post zingine bwana we unawish ungemu hug mwanzilishi ahahahhahahah...hebu wasilisha hili kwa mods. basi tu tunabakia ku blush at the monitor!!!!
kama shubiri ni tamu, asali ina ladha gani?
ahahahah hata maguuest pia??? eh kweli uko mkarimu sana...kwanza mods waweke vibatani vya hug ,kiss na blush etc....kuna post zingine bwana we unawish ungemu hug mwanzilishi ahahahhahahah...hebu wasilisha hili kwa mods. basi tu tunabakia ku blush at the monitor!!!!
Unajua kichwa changu kimepoteza netiweki, ndo mana nataka nikiamshe kwa valeur kirudi kwenye mstari!
__________________
Sorry to you beer and kitimoto! On 13/02 I will be busy with Ulanzi and wow!wow!wow!
SIGNATURE NOTED XPIN
jamani kama kuna mtu hajakamata SENKSI yangu naomba anipiemu!nimejitahidi kumpiga na SENKSI kila muungwana hapa.natamani niwapige senksi hawa maguest lakini nashindwa.MODS MSAADA KWENYE TUTA PLEASE..........
Mishikaki ya hiyo kitu achana nayo kabisa! Sasa ushushie na ulanzi inakuwa balaa bin balaa!Sorry to you beer and kitimoto! On 13/02 I will be busy with Ulanzi and wow!wow!wow!
Najua tu una hamu ya kuni-hug leo. No worry there is always other day!
Join Date: Sat Mar 2008
Location: At Any Bar Counter
Posts: 4,565
Thanks: 671
Thanked 1,006 Times in 737 Posts
Rep Power: 31
Re: 13 february 2010
U know....peck....