13 february 2010

labda kafanyiwa bachela party ndo maana amekuwa mnyenyekevu
ama mafundisho ya ndoa yamemuingia kisawia
 
Samahani naomba kuuliza, valuu inaruhusiwa ndani ya GX?
 
Na mimi NAOLEWA tarehe hiyo hiyo wapwazz na binamuzz................sasa inakuaje????????😉
Duuh, isije ikawa ndo hiyohiyo inayozungumzwa hapa, JF ikatoa couple nyingine!! Hebu tusubiri tuone!!
 
natarajia kuondoka hapa dar tar 11/02/2010 kwa ajili ya kuwahi maungamo na mafundisho kidogo kabla ya ndoa!......
 
Gp nakupa thanks lakini haitokei sijui mod anaibania eeh
 
rangi ya harusi yangu itakuwa ni maruun na gold...
 
Afu na wewe hebu tubadilishe hako ka avata kako!

Jamani Xspin kwani imefanyaje??Niko busy nazungusha bambataaa mtoto mashallah usipimie si unaniona mwenyewe hapo navyojishughulisha mpaka basi ilmradi tu unione lakini bado wacomplain>>>>>>>basi ngoja nijibadilishie nirudi kama zamani
 
natarajia kuondoka hapa dar tar 11/02/2010 kwa ajili ya kuwahi maungamo na mafundisho kidogo kabla ya ndoa!......

Kaungame kijana, umetenda dhambi nyingi. Ila ile uliyonikosea usiiungame. Nilishakusamehe na Mungu kashakusamehe pia. Ila usirudie tena, manake this time msamaha utaambatana na faini ya bia kadhaa za baridi pale kwa ankal!
 
kwenye send-off rangi watakayotumia watakuwa na light blue,kwavyovyote juu nitavaa shati light blue
 
wachana na ile kitu kabisa, ile kitu ni special esp ukapata ile fresh.....mweh home sweet home JS....hivi kumbe tupo barabara 1? aika mpora.

Njia moja tuko binamu. aika sana tiki.
 
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI

i miss you dad!.....

oooh pole sana my dear...ni njia yetu sote. may he continue to RIP
 
Jamani Xspin kwani imefanyaje??Niko busy nazungusha bambataaa mtoto mashallah usipimie si unaniona mwenyewe hapo navyojishughulisha mpaka basi ilmradi tu unione lakini bado wacomplain>>>>>>>basi ngoja nijibadilishie nirudi kama zamani

Ntaongea na Geoff muziki tufungue kwa twisti afu unizungushie hivyo wakati mi nakwangua soli ya kisigino!
 
Samahani naomba kuuliza, valuu inaruhusiwa ndani ya GX?

Binamu umeshaathirika na kinywaji ( Hizi maji za mende hizi )mie ni mshauri nasaha njoo home kwangu nikupe ushauri huduma hii ni bure
 
oooh pole sana my dear...ni njia yetu sote. may he continue to RIP
thank you very much!
tupo pamoja...
leo pale nyumbani familia ilijihimu kwa ajili ya masifu ya asubuhi,nia ya misa ilikuwa ni kwa ajili ya kumkumbuka baba!
NASHUKURU KWAMBA TUPO PAMOJA!....
 
kwenye send-off rangi watakayotumia watakuwa na light blue,kwavyovyote juu nitavaa shati light blue

Hahaha! Mi ntatinga kale ka suti kangu nilikoapa nako wakati namkamata kijumla festiledi wangu! Angalia nisijekutoka bomba kuliko bwana harusi mtarajiwa!
 
sherehe ya usiku itafanyika ukumbi unaoitwa MIDTOWN,pale makambako!
sherehe itaanza saa moja jioni
KARIBUNI SANA WAKUU WANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…