FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Leo homu boi huku ndani unyenyekevu ''A'' aka Msonge aka Kibanda.......! Yaani mzee unashusha masifu sijui ya zaburi gani ile or kitabu gani vile.........''wanamacho lakini hawaoni, wanamasikio lakini hawasikii, wanapua lakini hawanusi... then....Mungu wetu yupo mbinguni, msifu yeye msifu yeye...etc etc.....seminary raha!
Back to point........we talked mzee! Binafsi naweza nisiwepo kny send off...bt tukio kubwa, we try make sure nakuwepo physically.....and u know this will be in additional to my mchango ambao utaupata in two weeks kny account yako!
Kama nitaenda which will confirm two weeks before tukio, nitakuwa na GX100.....so unayependa kwenda...si zaidi ya watatu....tunaweza tumia usafiri huo pamoja for JF members, tunaondoka Ijumaa 12 Feb and back Sunday 14.
So mkuu Geoff tupo pamoja!
labda kafanyiwa bachela party ndo maana amekuwa mnyenyekevu
ama mafundisho ya ndoa yamemuingia kisawia