13 february 2010

RIP mzee!
Tunamshukuru mungu kwa zawadi ya maisha aliyompa mzee wetu, na kwa vipaji alivyopewa na kuvitumia.

Tukumbuke maisha yetu ni zawadi ya pekee na vipaji vyetu viwe baraka kwa wengine.
 
Hahaha! Mamaa la Carmel! Siku ukiamua kumwaga vyointi unavimwaga kikwelikweli! Leo hakuna ofu topiki hapa, kazi moja!
 
natarajia kurudi dar na wife pamoja na MARAFIKI ZANGU WA JF jumatatu ya tar 15-02-2010.kutoka hapo nitakuwa na mapumziko ya asali ya mwezi huku,nadhani huu ndio muda ambao nitahakikisha ninawaorganize marafiki kwa maana ya kuwashukuru kwa kuwa pamoja

Aisee hapo kwenye red mshkaji inabidi utumie nafasi hiyo VYEMA na matunda tuyaone. ile likizo nilikuambia upate umeifanyia kazi au ndo bado waendeleza libeneke la .............????
 
geoff, umesoma seminari nini? maana nahisi kama umepita huko.

nimefurahishwa na rangi ya nguo ulochagua siku ya tukio.nitawasiliana na wewe badae kidogo ili tupange namna kupendezesha sherehe hii.
 
RIP mzee!
Tunamshukuru mungu kwa zawadi ya maisha aliyompa mzee wetu, na kwa vipaji alivyopewa na kuvitumia.

Tukumbuke maisha yetu ni zawadi ya pekee na vipaji vyetu viwe baraka kwa wengine.
ahsante sana bro!
tupo pamoja
bwana alitwaa na bwana ametoa
sasa ni saa tano na dk 37,muda huu nakumbuka baba alikuwa ameshapoa kabisa

HE DIED ON MY ARMS!...nilikuwa nimembeba
I MISS TOY DAAD
 
Aisee hapo kwenye red mshkaji inabidi utumie nafasi hiyo VYEMA na matunda tuyaone. ile likizo nilikuambia upate umeifanyia kazi au ndo bado waendeleza libeneke la .............????
nilifuata maelekezo yako dada!nimesitisha
NASHUKURU KWA USHAURI
 
geoff, umesoma seminari nini? maana nahisi kama umepita huko.

nimefurahishwa na rangi ya nguo ulochagua siku ya tukio.nitawasiliana na wewe badae kidogo ili tupange namna kupendezesha sherehe hii.
ndio mkuu,
mimi ni mseminari
nimesoma CONSOLATA FATHERS' SEMINARY hapo mafinga
ninaomba unipe namba zako kwa pm nikupigie
 
natarajia kurudi dar na wife pamoja na MARAFIKI ZANGU WA JF jumatatu ya tar 15-02-2010.kutoka hapo nitakuwa na mapumziko ya asali ya mwezi huku,nadhani huu ndio muda ambao nitahakikisha ninawaorganize marafiki kwa maana ya kuwashukuru kwa kuwa pamoja

hapo pa red ndipo kabisaaaaaaaaaa....umenifurahisha jamani eh!! enjoy and we need to start seeign some accountability. we ukitaka tips siwajua wapwaz na mabinamuz tupo tu......
 
ahsante sana bro!
tupo pamoja
bwana alitwaa na bwana ametoa
sasa ni saa tano na dk 37,muda huu nakumbuka baba alikuwa ameshapoa kabisa

HE DIED ON MY ARMS!...nilikuwa nimembeba
I MISS TOY DAAD
Hey! Kiongozi! Can You Stop This? Wengine bila msaada wa valuu huwa hatuna uvumilivu, tunaweza kutoa michozi maofisini watu wakatushangaa! Unaonaje ukimwacha mzee apumzike kwa amani wakati unaendelea kutafakari harusi yako? Hii thread inazungumzia tukio la 13/02. Hebu tuweke fikra zetu hapo wakati tukiendelea kumwomba Mungu amweke mahali pema mzee wutu!
 
hapo pa red ndipo kabisaaaaaaaaaa....umenifurahisha jamani eh!! enjoy and we need to start seeign some accountability. we ukitaka tips siwajua wapwaz na mabinamuz tupo tu......
yaaah!
I AM ALWAYS LEARNING FROM THE BEST.....i learn from you friends!
 
Hivi mweka hazina ni nani? Nina michango ya watu kadhaa hapa sijui nipeleke kwa nani?
 
GOT YOU BROTHER!
raha ya milele apewe baba,na mwanga wa milele umuangazie
apumzike kwa amani-AMINA
nimestop
 
GOT YOU BROTHER!
raha ya milele apewe baba,na mwanga wa milele umuangazie
apumzike kwa amani-AMINA
nimestop

Roho ya Marehemu mzee wetu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa Amani.
AMINA.
 
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI

i miss you dad!.....

R.I.P Baba Geoff, pole sana binamu.
 
kuna uwezikano mkubwa wengi wenu mkawa bize na shughuli za kila siku,lakini GUYS I NEED TO SEE YOU KWENYE SEND-OFF!please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…