Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Geof kwa kifo cha baba. Naamini unatamani angekuwepo kwenye siku yako muhimu.
Kuhusu apology, i believe guys understand the situation you are having right now. Na kwa mpwa yeyote ambaye ni responsible anajua nini cha kufanya bila hata wewe kukumbushia. Do worry, tuko pamoja till the end.
ahsante sana my schoolmate!unaonaje na disati ikawa makusu?
natarajia kurudi dar na wife pamoja na MARAFIKI ZANGU WA JF jumatatu ya tar 15-02-2010.kutoka hapo nitakuwa na mapumziko ya asali ya mwezi huku,nadhani huu ndio muda ambao nitahakikisha ninawaorganize marafiki kwa maana ya kuwashukuru kwa kuwa pamoja
ahsante sana bro!RIP mzee!
Tunamshukuru mungu kwa zawadi ya maisha aliyompa mzee wetu, na kwa vipaji alivyopewa na kuvitumia.
Tukumbuke maisha yetu ni zawadi ya pekee na vipaji vyetu viwe baraka kwa wengine.
kinda liked that one!!Hahaha! Tarehe 13/02 anakuwa Wife wako! Thats My Mshiki! Wewe ni Shemeji yangu! Mtu na shemejie wadumisha mila! Dada ataelewa tu, usijali.
nilifuata maelekezo yako dada!nimesitishaAisee hapo kwenye red mshkaji inabidi utumie nafasi hiyo VYEMA na matunda tuyaone. ile likizo nilikuambia upate umeifanyia kazi au ndo bado waendeleza libeneke la .............????
ndio mkuu,geoff, umesoma seminari nini? maana nahisi kama umepita huko.
nimefurahishwa na rangi ya nguo ulochagua siku ya tukio.nitawasiliana na wewe badae kidogo ili tupange namna kupendezesha sherehe hii.
she is one of my favourite ICONS herein jfHahaha! Mamaa la Carmel! Siku ukiamua kumwaga vyointi unavimwaga kikwelikweli! Leo hakuna ofu topiki hapa, kazi moja!
natarajia kurudi dar na wife pamoja na MARAFIKI ZANGU WA JF jumatatu ya tar 15-02-2010.kutoka hapo nitakuwa na mapumziko ya asali ya mwezi huku,nadhani huu ndio muda ambao nitahakikisha ninawaorganize marafiki kwa maana ya kuwashukuru kwa kuwa pamoja
Hey! Kiongozi! Can You Stop This? Wengine bila msaada wa valuu huwa hatuna uvumilivu, tunaweza kutoa michozi maofisini watu wakatushangaa! Unaonaje ukimwacha mzee apumzike kwa amani wakati unaendelea kutafakari harusi yako? Hii thread inazungumzia tukio la 13/02. Hebu tuweke fikra zetu hapo wakati tukiendelea kumwomba Mungu amweke mahali pema mzee wutu!ahsante sana bro!
tupo pamoja
bwana alitwaa na bwana ametoa
sasa ni saa tano na dk 37,muda huu nakumbuka baba alikuwa ameshapoa kabisa
HE DIED ON MY ARMS!...nilikuwa nimembeba
I MISS TOY DAAD
yaaah!hapo pa red ndipo kabisaaaaaaaaaa....umenifurahisha jamani eh!! enjoy and we need to start seeign some accountability. we ukitaka tips siwajua wapwaz na mabinamuz tupo tu......
GOT YOU BROTHER!Hey! Kiongozi! Can You Stop This? Wengine bila msaada wa valuu huwa hatuna uvumilivu, tunaweza kutoa michozi maofisini watu wakatushangaa! Unaonaje ukimwacha mzee apumzike kwa amani wakati unaendelea kutafakari harusi yako? Hii thread inazungumzia tukio la 13/02. Hebu tuweke fikra zetu hapo wakati tukiendelea kumwomba Mungu amweke mahali pema mzee wutu!
GOT YOU BROTHER!
raha ya milele apewe baba,na mwanga wa milele umuangazie
apumzike kwa amani-AMINA
nimestop
Hivi mweka hazina ni nani? Nina michango ya watu kadhaa hapa sijui nipeleke kwa nani?
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI
i miss you dad!.....
jaribu kuwasiliana na kaizer,au js,au fidel kwa pmmimi pia nataka kuchangia sasa hebu nipeni means nipo nairobi! mpesa ipo huko?