13 february 2010

13 february 2010

Geoff nimefarjika na sapoti unayoipata kijana

Mawindo mitaa ya kati upunguze ili furaha idumu

My favorite line.....hapo sipo upo tena hauvumi..... mbona mie hukunitaja kwenye kutoa ushauri kwa wifi????
 
siku zinazidi kusonga mbele!!,
mpwazzzz presha inapanda presha inashuka.
 
dah, leo ni 17 DAYS TO GO!!.
kwa heshma na taadhima naomba kubadilisha AVATOR yangu maalum kwa dedikesheni ya mkuu.
 
Ngoja nami nikutumie pasiwedi yangu u do ze nidiful. Nshatia timu makambako hapa tangu juzi ulanzi ushapata habari zake. Kudumisha mila na haka kabaridi..... Wapwaz please mje na wachumba/wake zenu. Mtaacha watoto wasio na baba huku! Hahaha!
 
hehehe!
hivi ulanzi umepanda bei?....
 
Ngoja nami nikutumie pasiwedi yangu u do ze nidiful. Nshatia timu makambako hapa tangu juzi ulanzi ushapata habari zake. Kudumisha mila na haka kabaridi..... Wapwaz please mje na wachumba/wake zenu. Mtaacha watoto wasio na baba huku! Hahaha!

Gesti vipi zipo za kutosha? Tusije kujikuta tunalazimiaka kushea vyumba halafu tukashindwa kudumisha mila!
 
sijui invizbo kafanyaje, AVATOR hazibadiliki asee, nimejaribu kila mbinu holaa.
hebu nim-PM kwanza.
 
Gesti vipi zipo za kutosha? Tusije kujikuta tunalazimiaka kushea vyumba halafu tukashindwa kudumisha mila!
Ntapenda kupata orodha ya wadumisha mila. Watano wa kwanza kujiorodhesha watalipiwa ruums fo thrii konsekativu deis. Watapatiwa dada zake jofu fo frii kwa ajili ya kudumisha mila nao na kukomaza undugu. Then atakayefanikiwa kumpregnatisha mbinti atatunukiwa zawadi ya ulanzi debe tatu na Wow! Wow! Wow! Watatu aina ya Jerman shefadi aje ajipatie kitoweo safi na murua kabisa.
 
noted....
 
Niwekee rum moja, self contained mzee! Ofa ya rum nimeikubali ila ya dada zake Geoff namwachia Georgie Pojie....Mimi nitakuja na laaziz wangu Babra...!!!! 🙂
 
....😀😀
 
laaziz.....
 
Back
Top Bottom