Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Mi ni Mijikenda - kwetu ni Malindi(Kwa babu yangu) - una swali lengine?
Ahhaa kumbe wa kwetu kabisa bhana karibu Bongo! Nilifika Mombasa nikajisikia kama niko Dar kabisa, yaani pale ni Nyumbani, karibu sana TanZania KUBWA Ndugu!