Mi ni Mijikenda - kwetu ni Malindi(Kwa babu yangu) - una swali lengine?
Uhuru ni mtu wa kawaidaEti Kenyatta akisafiri popote hata kwny ndege lazima awe na bange kidogo na viroba vya pombe kali???
Wewe inakaa unaparagwa na wakikuyu ama waluo. kila siku huishi kuwatamka, na kama huijui Kenya vizuri waachie waijuayo waongeeWewe unatokea wapi? Kulingana ulivyojibu naweza kusema wewe ni Mkikuyu, kweli au si Kweli?
Hapo sasa ukitaka kuwajua Wakenya vizuri hauna haja ya kuwauliza wanakotoka!
Wakikuyu watamtetea Uhuru - Ruto kwenye hili na Wajaluo watampinga Uhuru kwenye hili ,,nothing more nothing less" kama wasemavyo Waingereza!
Watu wa Mombasa hua unaeza fananisha na Wabongo kabisa (especially watu walio slimu, hua hata kiswaahili kinafanana kwa mbali), hio ni ukweli, lakini si ati uanze kuita mombasa tanzania. Taarab nazo hua hata nashidwa kutofautisha kama ni ya kutoka nchi gani. Halafu watu wa pwani wanajua bongo flavor kama zote, ukianza kuchezesha nyimbo za ulaya kwa party watu hawafurahii, lakini nyimbo za usahilini, watu wanajirushaAhhaa kumbe wa kwetu kabisa bhana karibu Bongo! Nilifika Mombasa nikajisikia kama niko Dar kabisa, yaani pale ni Nyumbani, karibu sana TanZania KUBWA Ndugu!